Huyu mwanaume simwelewi kabisa

Huyu mwanaume simwelewi kabisa

Miaka 30 I Hope Uko Na Uzoefu Wa Kutosha Sana Take Care Muda wa Zidi Kwenda Unataka Kumwacha Because Uko Na MTU Mwingine Another Side Ambaye Bado Hujayaona Madhaifu Yake Vumilia Miezi 2 sio Mingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah halafu kwa hizi fake ID unakuja kuta huyu mtu ni dada yako.

Aisee, nimekuwaga muhuni lakini sijawahi mfanyia binti huu upuuzi walai.

Mtoa nada najua umri wako ndo unakuzingua. We dont know your past lakini jua tu haya uliyoyasema hayavumiliki from a man.

"When someone shows you who they are, believe them the first time."

Unajua hata kama ndo kukupima, basi uwe tayari maisha yako yote kuishi kwa kupimwa, ndivyo alivyo.

Nenda kasome 1corinthians 13:1-8 halafu ujipime na umpime kama wote mnqkidhi hizo definitions za love! Aisee upendo wenu ni wa sayari nyingine kabisa.

My dear sisters..achaneni na huu ujinga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu mna mioyo aiseeeh, ningekuwa nimetupilia mbali huyo mpenda vya ubwete, siku mwambie huna chakula na hela huna akusaidie atakavyokujibu utapata majibu kichwani mwako.
 
Labda anakupima akuone kama wewe ni MTU wa mizinga

mwanza kwetu
 
nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
Jamaa anachukulia poa, sasa wewe anza kumwambia best naona unipe assist kidogo naona bajeti yetu ya chakula imekuwa finyu si unajua kipato changu ni cha kuunga unga? Msikilizie akichomoa mtose tu maana ujue jamaa hata akikuowa ndio itakuwa tabia yake anatelezea ganda la ndizi mteremkoni kitonga. yani atakuwa hatoi kikamilifu pesa ya matumizi au huduma nyumbani na atakuwa napenda kuke marafiki hivyo hivyo nyumbani kwenu.

NAWEWE pia acha kuendekeza mambo madogo kama misosi utakuwa unawachukia ndugu wa mumeo kisa misosi. Misosi ni jambo dogo. Ila ukizidiwa akikupigia umpikie umwambie basi naomba upitie na sembe au mchele hata kilo 3 uje nao hapa kidogo mambo sio mazuri.
 
Kuna mawili hapo;
1. unatumika
2. mpenzi/mchumba wako anajisahau na anachukulia kawaida tu pengine haoni au anahisi gharama unazotumia kuandaa chakula ni za kawaida/ndogo tu kiasi unaweza kuzimudu bila msaada wake.

ushauri; mwambie dhahiri kwamba anatakiwa achangie kiasi fulani kwenye gharama za chakula na ikiwezekana iwe kwa jumla ili pengine muwe mnakula pamoja (usimwogope sababu mwanaume anayekupenda hatojiskia vibaya au kukasirika kuambiwa hivo). Akikubali, maisha yanaendelea, akikataa/akikasirika, hapo unatumika na hakuna haja ya kubaki kwenye hayo mahusiano regardlessly (umri isiwe hoja).
 
Jamani naombeni ushauri wenu ndugu zangu nilikua na rafiki wa kiume close friend yaani tulikua marafiki hasa kiasi kwamba haiwezi pita Masaa 2 hatuwasiliani usiku tunaongea mpaka SAA 5 usiku.

Kuna siku alienda kazini akachelewa kutoka akanipigia best ndio nafika alafu gesi imeisha kwakua ni rafiki sikuona ajabu nikamwambia njoo ule huku akaja kula Sijui kilitokea nini tukajikuta tupo katika mahusiano ya kimapenzi kweli mi nilikua nampenda sana before nadhani hata yeye.

Sasa kilichofanya niombe ushauri ni tabia ya jamaa kifupi tumepanga kufikia December tuwe tumesha tambulishana kwa wazazi lengo tuje tuishi pamoja ambacho simuelewi jamaa anaweza piga simu pika nakuja kula kweli najipinda napika anakula anaondoka au anaweza pata mgeni akaniambia piga ninamgeni tunakuja kula nawapikia jamaa hanunui hata mboga wala tu kujiongeza angalau alete hata nyanya tu hapana

Yeye ana kazi nzuri analipwa karibia 1million per month mimi mbangaizaji tu lakini hata huruma hana nashindwa nimuelewe juzi aliniambia njoo uninunulie lunch nikamwambia sina hela basi.

Jana kaja nimekuja kula ikabidi niandae chakula akala akaondoka jamani nashindwa kumuelewa ni mtu wa aina gani mi sio muongeaji sana nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
Si urudi Kigoma kwa bibi umbemende akili; akumwagie mafweza mamiii....
 
ndo umeamua kuja kunianika huku

Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4
 
Back
Top Bottom