Huyu mwanaume simwelewi kabisa

Kwa umri huo sikushauri kuachana naye... Jikaze tu uipate ndoa, at least kama hujatongozwa na wanaume angalau watatu zaidi ya three months, sikushauri kabisa kumuacha... Ukiingia ndani ya ndoa atakoma maana itabidi ayabebe hayo majukumu. Vumilia tu bado siku kidogo umalize la saba!
Kosa kubwa kwenye maisha!
Si mawazo Sahihi kudhani ndoa ni suluhisho la mabadiliko ya tabia za mtu.
Kinadharia wanaume huwa na upole na wanafake sana mapenzi wakiwa hawajaoa kuliko wanapooa, mabadiliko chanya si ya kutegemewa sana mtu anapoingia kwenye ndoa, mara nyingi hubaki kama ulivyomkuta kama hakuwa feki, au huwa worse ikiwa alijitia mapenzi ya uongo!
Huyu sasa hana mahaba hata kidogo, hajiongezi hata kwenye Kula yake, mtu aina Hii anaweza kutoa pesa ya gauni, saloon etc!
All in all hivyo vyote ni vichochezi tu vya mapenzi, kama mleta mada anaona vipo ambavyo ananufaika navyo na hajui atavipata wapi pengine, tumshauri tu awake kwenye mizani faida na hasara ya kuishi na Huyu mtu, then asikilize moyo wake!
 
Daahh jf utakutana na visa vingi vya mapenzi. Kwa kweli jf haichokeki

Jf oyeeee

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Yaan kila nikirudia kusoma hii msg najikuta machozi yanatoka Sijui kwann
Usilie bhana,we fanya bhana ilimradi una furaha moyoni,mbona hata sisi wanaume tunawatoa kila kitu lakini hatulalamiki?Ukikwama unaweza mwambia akupe kiasi cha pesa utaona atakavyolifanyia kazi.Unaweza ukampata anayekupa kila kitu lakini ukawa hauna furaha naye kwakuwa haumpendi kwa dhati sasa hapo unakuwa unafanya nini.Kuwa makini na maneno ya watu yanaweza kukutoa kwenye msitari.Palipo na upendo yote yawezekana.Mungu akupe wepesi katika hali cha msingi usimuache kama unampenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DAH JAMAA KAUZU BALAA, DADA YANGU, HUYO MPE KADI MBILI ZA NJANO KWA MKUPUO (RED CARD). ANA DEMU AMBAYE ANA FUTURE NAYE, WEWE NI WA DHARURA
Najua inauma kuwa ni wa dharura ila ndyo ukweli
 
Tatizo lako ni kulazimisha kumuelewa wakati umesema humuelewi,

Pili kama shida ni kuchangia msosi mchane mwambie msosi umeisha njoo na kiroba cha mchele avha kujifanya mama huruma na kuja kulia apa jf wakati swala dogo kabisa ili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani naombeni ushauri wenu ndugu zangu nilikua na rafiki wa kiume close friend yaani tulikua marafiki hasa kiasi kwamba haiwezi pita Masaa 2 hatuwasiliani usiku tunaongea mpaka SAA 5 usiku.

Kuna siku alienda kazini akachelewa kutoka akanipigia best ndio nafika alafu gesi imeisha kwakua ni rafiki sikuona ajabu nikamwambia njoo ule huku akaja kula Sijui kilitokea nini tukajikuta tupo katika mahusiano ya kimapenzi kweli mi nilikua nampenda sana before nadhani hata yeye.

Sasa kilichofanya niombe ushauri ni tabia ya jamaa kifupi tumepanga kufikia December tuwe tumesha tambulishana kwa wazazi lengo tuje tuishi pamoja ambacho simuelewi jamaa anaweza piga simu pika nakuja kula kweli najipinda napika anakula anaondoka au anaweza pata mgeni akaniambia piga ninamgeni tunakuja kula nawapikia jamaa hanunui hata mboga wala tu kujiongeza angalau alete hata nyanya tu hapana

Yeye ana kazi nzuri analipwa karibia 1million per month mimi mbangaizaji tu lakini hata huruma hana nashindwa nimuelewe juzi aliniambia njoo uninunulie lunch nikamwambia sina hela basi.

Jana kaja nimekuja kula ikabidi niandae chakula akala akaondoka jamani nashindwa kumuelewa ni mtu wa aina gani mi sio muongeaji sana nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
Jamaa kajipatia kahousegirl ka gharama nafuu na sehemu ya mgegedo wa bure. Subiri kadi yake ya harusi. Halafu huko fb kila demu ana bwana, kumbe mabwana wenyewe ndo sie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_92333.jpg
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_92333.jpg
 
Jamani naombeni ushauri wenu ndugu zangu nilikua na rafiki wa kiume close friend yaani tulikua marafiki hasa kiasi kwamba haiwezi pita Masaa 2 hatuwasiliani usiku tunaongea mpaka SAA 5 usiku.

Kuna siku alienda kazini akachelewa kutoka akanipigia best ndio nafika alafu gesi imeisha kwakua ni rafiki sikuona ajabu nikamwambia njoo ule huku akaja kula Sijui kilitokea nini tukajikuta tupo katika mahusiano ya kimapenzi kweli mi nilikua nampenda sana before nadhani hata yeye.

Sasa kilichofanya niombe ushauri ni tabia ya jamaa kifupi tumepanga kufikia December tuwe tumesha tambulishana kwa wazazi lengo tuje tuishi pamoja ambacho simuelewi jamaa anaweza piga simu pika nakuja kula kweli najipinda napika anakula anaondoka au anaweza pata mgeni akaniambia piga ninamgeni tunakuja kula nawapikia jamaa hanunui hata mboga wala tu kujiongeza angalau alete hata nyanya tu hapana

Yeye ana kazi nzuri analipwa karibia 1million per month mimi mbangaizaji tu lakini hata huruma hana nashindwa nimuelewe juzi aliniambia njoo uninunulie lunch nikamwambia sina hela basi.

Jana kaja nimekuja kula ikabidi niandae chakula akala akaondoka jamani nashindwa kumuelewa ni mtu wa aina gani mi sio muongeaji sana nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
Watu kama hao inatakiwa siku moja akikuambia upike, unamwandalia mishikaki ya chura na majimbi na juice ya limao.
 
nyakati zimebadilika sana.. pia hata mifumo ya maisha imebadilika kutokana na nyakat hivyo unapaswa usimame wewe kama wewe ili kuitetea nafsi yako.. mapenzi ya dhat na ya kweli kabla ya mauhisiano inaletwa na
1.ukweli
2.usawa
3.huruma
4.kjitolea.
so akikufanya ww daraja we mfanye mto.
mwambie ukweli aache unyonyaji ama agafute mwenye uwezo sio ww.
ukweli humiweka mtu huru
 
Back
Top Bottom