Huyu mwanaume simwelewi kabisa

acha ujinga binti yani unalea lijianaume lipuuzi fala kabisa na wewe upo hakuna mpenzi hapo .. okey unalimwanaume lisilojali halafu nategemea mkatambulishane Yesu Ruwa hivi kwa nini usimkimbize huyo tegemezi.. hawezi kuja kuweza nunua hata chumvi .. khee khee halafu utakuja kusema ndoa chungu wewe unafuga mwenyewe hilo lijitu uje utegemee mabadiliko.. kwanza mwanaume wa kutumia pesa ya mwanamke si mwanaume
 
unapiga mzigo vizuri????......dada yangu jitambue,,, mwambie naomba pesa ya mboga na mazagaza ya home....wacha ubwege utaacha wangapi wewe.....mpenzi huchaguliwi dada....umesema mwenyewe mwapendana atiii.... sasa nini kimekupata....umemwambia akakataa????komaa nae.......kama akikukaza unamwambia taaamuuu.....sasa unashindwa nini kumwambia kibiriti kimeisha????changamka wewe.....uko dsm au mkoani....??
 
Kwa umri huo sikushauri kuachana naye... Jikaze tu uipate ndoa, at least kama hujatongozwa na wanaume angalau watatu zaidi ya three months, sikushauri kabisa kumuacha... Ukiingia ndani ya ndoa atakoma maana itabidi ayabebe hayo majukumu. Vumilia tu bado siku kidogo umalize la saba!
mmmmh acha kumdanganya huyu mrembo kuliko aingie kwenye ndoa huyu bora asiolewe me siwezi
 
Jamani naombeni ushauri wenu ndugu zangu nilikua na rafiki wa kiume close friend yaani tulikua marafiki hasa kiasi kwamba haiwezi pita Masaa 2 hatuwasiliani usiku tunaongea mpaka SAA 5 usiku.

Kuna siku alienda kazini akachelewa kutoka akanipigia best ndio nafika alafu gesi imeisha kwakua ni rafiki sikuona ajabu nikamwambia njoo ule huku akaja kula Sijui kilitokea nini tukajikuta tupo katika mahusiano ya kimapenzi kweli mi nilikua nampenda sana before nadhani hata yeye.

Sasa kilichofanya niombe ushauri ni tabia ya jamaa kifupi tumepanga kufikia December tuwe tumesha tambulishana kwa wazazi lengo tuje tuishi pamoja ambacho simuelewi jamaa anaweza piga simu pika nakuja kula kweli najipinda napika anakula anaondoka au anaweza pata mgeni akaniambia piga ninamgeni tunakuja kula nawapikia jamaa hanunui hata mboga wala tu kujiongeza angalau alete hata nyanya tu hapana

Yeye ana kazi nzuri analipwa karibia 1million per month mimi mbangaizaji tu lakini hata huruma hana nashindwa nimuelewe juzi aliniambia njoo uninunulie lunch nikamwambia sina hela basi.

Jana kaja nimekuja kula ikabidi niandae chakula akala akaondoka jamani nashindwa kumuelewa ni mtu wa aina gani mi sio muongeaji sana nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
Hahahahaha pambna na hali yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmmmh acha kumdanganya huyu mrembo kuliko aingie kwenye ndoa huyu bora asiolewe me siwezi
Inategemea ntu na ntu. Kama ni mrembo haswa ataonwa na wengi na kuolewa itakuwa sio shida. Ila kama hakujaliwa muenekano mzuri, atasubiri sana kwenye foleni ya kuolewa so ni bora akashikilia chocho lililopatikana. Mengine watarekebishana ndani ya ndoa... Maadam mwanaume atakuwa analipa kodi ya nyumba kama hajajenga, na kulipa bili kama umeme, maji n.k mdada atapata nafuu na hata hela yake ataanza kuiona.
 
Kuna mawili hapo kama sio anakupima basi jamaa haelewi. sasa wewe amua kumpima najifanye huelewi mwambie kwa siku zijazo budget yako itakuwa tight kiaina alafu mchek ataishia kusema pole au atajiongeza kidogo nakuangalia namna ya kukusaidia. Kama anakujali ataonyesha hali ya kushugulika hatakama hatakuwa na uwezo kwa muda husika, tofauti na hapo huyo jamaa kwa mtazamo wangu atakuwa bomu la nuclear kwa maisha ya mbeleni.
 
Sababu ni hiyo tu au kuna nyingine?.kama ni hiyo tu bado nimapema sana kumsema jamaa maana huwez jua kama nayeye labda anakufanyia makusudi kuna kitu anataka pima kwako.kua mke wa mtu wakat mwingine kunakupita kwenye mitihani mingi kwaiyo unachotakiwa kufanya ni wewe kua wazi kwake kwakumshirikisha hiyo bajeti ya hapo nyumbani then uone respond yake.Hutakiwi kumuogopa ila kama unaona ni ngumu kumwambia direct tumia ata meseji au namna ya utani.najua ukifanya utafiti wako mara mbili tatu utajua amesimamia wapi maana usije ukadhani mwanaume anayekuhudumia kila kitu ndo anakupenda.Na kama kweli wewe unampenda ni jukum lako kumtengeneza awe vile unaona inafaa maana kumbuka kila mtu na malezi yake.
 
Inategemea ntu na ntu. Kama ni mrembo haswa ataonwa na wengi na kuolewa itakuwa sio shida. Ila kama hakujaliwa muenekano mzuri, atasubiri sana kwenye foleni ya kuolewa so ni bora akashikilia chocho lililopatikana. Mengine watarekebishana ndani ya ndoa... Maadam mwanaume atakuwa analipa kodi ya nyumba kama hajajenga, na kulipa bili kama umeme, maji n.k mdada atapata nafuu na hata hela yake ataanza kuiona.
me ningepata uchizi .. any way ajipime kama ataweza sababu me siwezi
 
Jamani naombeni ushauri wenu ndugu zangu nilikua na rafiki wa kiume close friend yaani tulikua marafiki hasa kiasi kwamba haiwezi pita Masaa 2 hatuwasiliani usiku tunaongea mpaka SAA 5 usiku.

Kuna siku alienda kazini akachelewa kutoka akanipigia best ndio nafika alafu gesi imeisha kwakua ni rafiki sikuona ajabu nikamwambia njoo ule huku akaja kula Sijui kilitokea nini tukajikuta tupo katika mahusiano ya kimapenzi kweli mi nilikua nampenda sana before nadhani hata yeye.

Sasa kilichofanya niombe ushauri ni tabia ya jamaa kifupi tumepanga kufikia December tuwe tumesha tambulishana kwa wazazi lengo tuje tuishi pamoja ambacho simuelewi jamaa anaweza piga simu pika nakuja kula kweli najipinda napika anakula anaondoka au anaweza pata mgeni akaniambia piga ninamgeni tunakuja kula nawapikia jamaa hanunui hata mboga wala tu kujiongeza angalau alete hata nyanya tu hapana

Yeye ana kazi nzuri analipwa karibia 1million per month mimi mbangaizaji tu lakini hata huruma hana nashindwa nimuelewe juzi aliniambia njoo uninunulie lunch nikamwambia sina hela basi.

Jana kaja nimekuja kula ikabidi niandae chakula akala akaondoka jamani nashindwa kumuelewa ni mtu wa aina gani mi sio muongeaji sana nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
Haya ndo madhara ya kuchekewa kuingia katika mahusiano na kujikuta unampokea mtu kwa shauku tu umri umeenda bila kupata nafasi ya kumjua kitabia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keshakuona wewe mama ntilie sasa...

Pole mwaya, tatizo kapenda mapishi yako na sio wewe ila kama waudhika Mwambie tuu usimwache sababu ya msosi jamanii, hebu msikilize kwanza
 
acha ujinga binti yani unalea lijianaume lipuuzi fala kabisa na wewe upo hakuna mpenzi hapo .. okey unalimwanaume lisilojali halafu nategemea mkatambulishane Yesu Ruwa hivi kwa nini usimkimbize huyo tegemezi.. hawezi kuja kuweza nunua hata chumvi .. khee khee halafu utakuja kusema ndoa chungu wewe unafuga mwenyewe hilo lijitu uje utegemee mabadiliko.. kwanza mwanaume wa kutumia pesa ya mwanamke si mwanaume
Mbona mm unanilea lkn sisemi,acha kumtia ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anyway mapenzi ni raha na karaha ila ni vyema ukamuomba muda wa kuzungumza naye taratibu uone mtazamo wake

Ila kama huwezi, anapokupigia na kukupa order
Mweleze kwa upole samahani mpenzi nimepungukiwa na kiasi cha fedha za maandalizi kwani nime(unaorodhesha mlolongo wa matumizi makubwa uliyoyafanya)
Then uone kama ni mtu wa kujiongeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom