Huyu mwanaume simwelewi kabisa

Huyu mwanaume simwelewi kabisa

Kisa msosi tu, ndio uache mwanaume kwa sababu hiyo tu au una sababu nyingine??? Chakula chenyewe unakula afu baadae unapeleka chooni, Dada kuwa siriasi. kuna wenzako wanatafuta hata hao wa kuwalisha hawawapati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwez amini hajawahi hata nikaribisha kwake kisa tu anaishi na rafiki yake
ndio umwombe uende kwake,..., na kwa tahadhari tu, kama ulikuwa umezama miguu yote katika penzi lake, anza kujitoa mguu mmoja kwanza, ... Hakuna kupendwa hapo, mwanaume anaweza akajua nini kinaendelea hapo, but no need to explain much here,.., ila ni kukwambia tu, hakuna usalama hapo, jua kabisaaa kuwa hata yeye bado hajakupa moyo wake, so na wewe usimpe wako.
 
Haaa haaaa....kuzaliwa mwanamke tu ni tatizo...

Jamaa anamchuna live!

Hivi vitabia vimeshamiri kwenye jamii yetu, bora hata huyu kuna Dada mmoja yeye alikuwa anamtunza mume wa mtu eti kampenda!

Sent using Jamii Forums mobile app
ha hahahaha mi akitaka hata kunikopa naweza lipuka .. eti unalea ha hahaha bora akachukue watoto yatima alee atapata baraka
 
ndio umwombe uende kwake,..., na kwa tahadhari tu, kama ulikuwa umezama miguu yote katika penzi lake, anza kujitoa mguu mmoja kwanza, ... Hakuna kupendwa hapo, mwanaume anaweza akajua nini kinaendelea hapo, but no need to explain much here,.., ila ni kukwambia tu, hakuna usalama hapo, jua kabisaaa kuwa hata yeye bado hajakupa moyo wake, so na wewe usimpe wako.
na asifanye kosa la kutegesha mimba
 
Jamani naombeni ushauri wenu ndugu zangu nilikua na rafiki wa kiume close friend yaani tulikua marafiki hasa kiasi kwamba haiwezi pita Masaa 2 hatuwasiliani usiku tunaongea mpaka SAA 5 usiku.

Kuna siku alienda kazini akachelewa kutoka akanipigia best ndio nafika alafu gesi imeisha kwakua ni rafiki sikuona ajabu nikamwambia njoo ule huku akaja kula Sijui kilitokea nini tukajikuta tupo katika mahusiano ya kimapenzi kweli mi nilikua nampenda sana before nadhani hata yeye.

Sasa kilichofanya niombe ushauri ni tabia ya jamaa kifupi tumepanga kufikia December tuwe tumesha tambulishana kwa wazazi lengo tuje tuishi pamoja ambacho simuelewi jamaa anaweza piga simu pika nakuja kula kweli najipinda napika anakula anaondoka au anaweza pata mgeni akaniambia piga ninamgeni tunakuja kula nawapikia jamaa hanunui hata mboga wala tu kujiongeza angalau alete hata nyanya tu hapana

Yeye ana kazi nzuri analipwa karibia 1million per month mimi mbangaizaji tu lakini hata huruma hana nashindwa nimuelewe juzi aliniambia njoo uninunulie lunch nikamwambia sina hela basi.

Jana kaja nimekuja kula ikabidi niandae chakula akala akaondoka jamani nashindwa kumuelewa ni mtu wa aina gani mi sio muongeaji sana nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
pambana na hali yako achananaye
 
Maswali matatu muhimu:

1.Mpaka sasa mna muda gani ktk mahusiano yenu?

2. Hapo unazungumzia misosi zaidi je vitu vingine anakupatia hata kama sio mara kwa mara?

3.Yuko wazi kiasi gani kwenye hayo mliyoyapanga( barua + future zingine?)

5.Ratiba zake zikoje? I mean una share nae ratiba? Ile kujua kwamba wakati gani yuko wapi na anafanya nini!

Ukiweza nijibu maswali haya nikusaidie kitu..

***Usije ukapoteza meli na abiria wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
1) mwezi 1
2)kuna sehem tulienda nilikua ninashida ilitakiwa nilipe elf 10 akatoa yeye...baada ya hapo tukaenda lunch akalipa yeye....siku ya pili niliharibikiwa kitu akakinunua kwa elf 10 akakuleta basi.
3)hua anaongea tu kufikia mwaka kesho tuwe pamoja
4)yes hua ananiambia like nipo kazin,,nimetoka,,nipo napika
 
Sasa wewe tatizo lipo wapi? Kumpikia mchumba wako kuna tatizo gani hapo, tatizo wanawake wengi mmekariri lazima mwanaume akuhudumie mkituhudumia nyinyi kelele mji mzima watajua kwamba unamuhudumia mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee hadi huruma!

Kuna wanaume wanyama hata kama humpendi mtu!

Sent using Jamii Forums mobile app
kujiendekeza eti asione na shida au omba omba mfyuuu ndugu unakuja kula njoo na samaki kilo kumi na nyama na kuku.. chupa ya wine khee mpaka akitaka kuja kwangu lazima awe ana cash kwa sababu hiyo akiwa njiani akifika kuna mengine hufuata niongezee umeme ha hahahaha miss mie huruma sina
 
Sasa wewe tatizo lipo wapi? Kumpikia mchumba wako kuna tatizo gani hapo, tatizo wanawake wengi mmekariri lazima mwanaume akuhudumie mkituhudumia nyinyi kelele mji mzima watajua kwamba unamuhudumia mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo hachangii kwenye manunuzi ya chakula .. huyo dada anashamba analima useme anapata hapo shambani ?
 
Jamani naombeni ushauri wenu ndugu zangu nilikua na rafiki wa kiume close friend yaani tulikua marafiki hasa kiasi kwamba haiwezi pita Masaa 2 hatuwasiliani usiku tunaongea mpaka SAA 5 usiku.

Kuna siku alienda kazini akachelewa kutoka akanipigia best ndio nafika alafu gesi imeisha kwakua ni rafiki sikuona ajabu nikamwambia njoo ule huku akaja kula Sijui kilitokea nini tukajikuta tupo katika mahusiano ya kimapenzi kweli mi nilikua nampenda sana before nadhani hata yeye.

Sasa kilichofanya niombe ushauri ni tabia ya jamaa kifupi tumepanga kufikia December tuwe tumesha tambulishana kwa wazazi lengo tuje tuishi pamoja ambacho simuelewi jamaa anaweza piga simu pika nakuja kula kweli najipinda napika anakula anaondoka au anaweza pata mgeni akaniambia piga ninamgeni tunakuja kula nawapikia jamaa hanunui hata mboga wala tu kujiongeza angalau alete hata nyanya tu hapana

Yeye ana kazi nzuri analipwa karibia 1million per month mimi mbangaizaji tu lakini hata huruma hana nashindwa nimuelewe juzi aliniambia njoo uninunulie lunch nikamwambia sina hela basi.

Jana kaja nimekuja kula ikabidi niandae chakula akala akaondoka jamani nashindwa kumuelewa ni mtu wa aina gani mi sio muongeaji sana nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
Huyo jamaa anafanana jamaa flani mcameroon yani anavyofanya huyo ni exactly na huyo jamaa anavyowafanya madada huku akiwa kawahidi ndoa mbeleni wakija shtuka wameliwa na kumbe jamaa ana mke na watoto
 
Back
Top Bottom