Huyu mwanaume ni balaa......

vunja jungu huwa mnafanya kingunguo?

Katika Uislaam hakuna hata fundisho moja au nusu au robo, kuhusu hiyo mnayoiita vunja jungu! vunja jungu ndio nini? ni wajinga wachache wasio jua maana ya mfumo wao wa maisha ya kiislaam wanaoshadidia huu upuuzi unaoitwa vunja jungu.

Mtu anakwenda kufanya ufuska wake binafsi (tena mwezi mtukufu wa Ramadhan) halafu asingizie kuwa anasherehekea eid? ni wapi ulipofundisha na Uislaam kuwa Eid inasherehekewe kwa ufuska?

Eid husherehekewa kwa kusali, kusikiliza khutba za eid, kutembelea ndugu jamaa na marafiki, kutembelea wagonjwa na kuwafariji siku hii adhimu, kujumuika maskini na matajiri na kuwa kitu kimoja, mle vizuri, mvae vizuri, watoto, vijana na wazee wafurahi bila kubaguana, kila asienacho nae afurahi kama alienacho. Kuombeana dua za kheri, kuzuru makaburi na kuwaombea maghfira waliotutangulia. Kuamrishana na kukumbushana mambo mema, kuombana misamaha kwa mliokoseana, kumkumbuka na kukumbuka aliyetuumba kuwa tupo duniani kwa ajili yake na neema zote ni zake.

Sio kujisifu kwa ufuska kwa jina la eid. Kufanya uasharati na kuutangazia umma na kujambiana na kuutangazia umma na kujisifu kwa uasharati manona ni jambo lamaana na hususan mnapolihusisha na siku ya eid. Huo ni upotohaji na ni laana ya Mwenyeezi Mungu hiyo. Mnajiona mnafanya la maana lakini hamna zaidi mnachokivuna ila khasara. Na nnauhakika huyo aliyeleta mada hana raha ya dunia mpaka akhera. atubu kwa mola wake na laana zake asizianike na kuzifanya ni sifa.

Laana si sifa iwe ni kwa Waislaam au si Waislaam. Laana za ufuska na tabia mbaya za kujambiana zinakatazwa na dini zote na hata wale wasio na dini hujilinda na ufuska na kukirihishana kwa kujambiana.

hivi ff kujamba/kujambiana (ashakum si matusi), ni dhambi?
natumaini umekua na eid njema yenye barakat

khaaa angalia aina ya vyakula anavyokula unategemea nini ule ugali na maharage usiku kabla ya kwenda kulala?

hivi ff kujamba/kujambiana (ashakum si matusi), ni dhambi?

natumaini umekua na eid njema yenye barakat

sasa kama ulikula mayai ya kuchemsha, ndizi mbivu, wali maharage na mtindi ni lazima upulize sana vuvuzela...... Hahahah hahaha hahaha

Jamani natokea Tandika kukandamiza mabiriani, nimo kwenye daladala nimekaa kiti cha mlangoni ambacho huwa kuna kichuma konda huwa anakalia, lakini kwa kuwa gari imejaza sana kuna ustaadh amekaa hapo anajamba sana, anamuomba dereva aongeze mwendo maana tumbo limemvurugika.
Jamani tuwe tunakula kwa mpango na mpangilio

No doubt that digestion is taking place accordingly Kuwa mvumilivu.Mbona ww tunakuvumilia.

kama hauwezi kuvumilia muache haaaaaaaaaaaaaaaa,kama ana-fart(break wind) ovyo ovyo basi ujue watu walishawahi kumpumulia ndo maana sphinters zimekuwa lelelege....Pole we endelea tu kuchezea mti wake mzuri lol

hivi ff kujamba/kujambiana (ashakum si matusi), ni dhambi?
natumaini umekua na eid njema yenye barakat

Kujamba si dhambi, kujamba mbele za watu na kuwakirihisha ni dhambi. Hakuna mwenye haki ya kumkirihisha mwenzake si kidini tu bali hata kibinaadam, tena kujamba jamba hovyo ni kosa la jinai kwa sheria za nchi nyingine:

Missouri USA: 574.010. 1. A person commits the crime of peace disturbance if:
(1) He unreasonably and knowingly disturbs or alarms another person or persons by:
(a) Loud noise; or
(e) Creating a noxious and offensive odor;

Malawi: BBC News - Malawi row over whether new law bans farting

Florida USA: It's illegal to fart in public after 6PM

wengi hawajagusa tatizo hapo ukweli ni kwamba...........unaweza ukakuta msela ni chakula sasa kujamba kusiko na mpango ni dalili moja wapo kamchunguze ....

huuuu nimecheka hadi tumbo laniuma janani kuna baadhi ya coments ni kiboko

Tangu juzi niko kisiwani Mafia kwa mapumziko ya ldd nikiwa na chombo kipya. He is tall, black, mascular without a tammy belly.
Pesa anayo, mwerevu na mkarimu. Kitandani ni zaidi ya maelezo, muziki wake mzito ati!!!!! Tatizo lake baada ya kumaliza mechi, hulala fofofo, hukoroma kwa sauti ya juu sana kiasi kwamba nashindwa kulala, usiku uliopita amekoroma hadi watu wa first aid wakaja wakidhani tunatatizo. Pia huwa anajamba kila wakati tena kwa sauti na bila kujalisha tuko na nani, marafiki zake ama marafiki zangu, hili naona liko nje ya control yake. Je nimsaidieje shemeji yenu na kumwacha sitaki hata kidogo?
Nataka kujua kama ulikumbuka matumizi ya kondomu

Similar Discussions

Back
Top Bottom