Huyu mwanaume ni balaa......

Huyu mwanaume ni balaa......

nazjaz umeshaachana na husband?maana topic yako ya nyuma,ulisema una mume anakupa kila kitu.leo una chombo kipya.mmmh

Sifa alizozitaja kuhusu huyo mwanaume zinatosheleza kujibu swali lako. Kwa kifupi Nazjaz mwanaume akiwa na muonekano mzuri, awe na pesa na awe anapenda kuzitumia kwenye starehe kama huko visiwani waliko hivi sasa, basi atampata tu! Na wanawake wa aina hiyo hapa mjini wako wengi sana! Bila kujali kama wameolewa au lah, wao pesa na starehe toka kwa mwanaume ni vigumu kuviruka!

We Naz usi2chefue,inaelekea hujafundwa..kama unampenda huyo m2 ungekuwa mstaarabu kutafuta ushaur in a private way co kuanika mambo ya chumban kwny Jf .JIHESHIMU NACC UTAKUHESHIMU.

Tangu juzi niko kisiwani Mafia kwa mapumziko ya ldd nikiwa na chombo kipya. He is tall, black, mascular without a tammy belly.

Pesa anayo, mwerevu na mkarimu. Kitandani ni zaidi ya maelezo, muziki wake mzito ati!!!!! Tatizo lake baada ya kumaliza mechi, hulala fofofo, hukoroma kwa sauti ya juu sana kiasi kwamba nashindwa kulala, usiku uliopita amekoroma hadi watu wa first aid wakaja wakidhani tunatatizo. Pia huwa anajamba kila wakati tena kwa sauti na bila kujalisha tuko na nani

Doh Nazjz wangu....nilikuwa kimya sana siku nyingi,ila leo nashukuru umefunguka kama gari yenye Nitro.Karibu kwangu Arusha mimi ndio yule ninayetakiwa kuwa nawe.Doh mapungufu yote ya shemeji,kwel unateseka.Njoo mamaa ule bata kwa nazi.

Tangu juzi niko kisiwani Mafia kwa mapumziko ya ldd nikiwa na chombo kipya. He is tall, black, mascular without a tammy belly.

Pesa anayo, mwerevu na mkarimu. Kitandani ni zaidi ya maelezo, muziki wake mzito ati!!!!! Tatizo lake baada ya kumaliza mechi, hulala fofofo, hukoroma kwa sauti ya juu sana kiasi kwamba nashindwa kulala, usiku uliopita amekoroma hadi watu wa first aid wakaja wakidhani tunatatizo. Pia huwa anajamba kila wakati tena kwa sauti na bila kujalisha tuko na nani, marafiki zake ama marafiki zangu, hili naona liko nje ya control yake. Je nimsaidieje shemeji yenu na kumwacha sitaki hata kidogo?

Haya mambo ya kunianika hadharani jamani sio mazuri, tungelijadili kwanza tukubaliane kama tunaliweka public or no.

hivi huyu ni mzungu.............................................ninakumbuka huko nyuma ulituuma sikio ulivyokuwa ukimsaka mzungu kwa udi na uvumba................kujambajamba.............................hivyo ni vyakula tu..................chunguza ala nini na vibadilishwe na kuachana na vinavyozalisha gesi nyingi kama maharagwe, karanga maziwa na proteni kupita kipimo...................apunguze kuapakia na anywe maji mengi.............kama mashine yake umeridhia huo ni mwanzo swafi mwanangu...............mambo ya pesa ni kiini macho tu...........awe nazo au la yote sawa tu ila kibali ni roho yake umeiafiki............................kukoroma nako kunatokana na jinsi anavyolala.............kama anala...................ipo aina ya chupa aweze kulala ikiwa imefurika mdomni na kamwe hata koroma........................................lakini weye ulipotelea wapi iko siku mingi sioni makala yako humu jukwaani.................
Well said
Kunywa maji ni muhimu sana si chini ya lita 3 kwa siku.

Asiwe anabania kwenda chooni to open his bowels na si chini ya mara moja kwa siku.Kama anamatatizo ya kwenda chooni inabidi aangalia anakula vyakula vya aina gani.

Pia awe anakula taratibu na sio anakula kama anakimbizwa.

Kuna watu wengine wakiwa wamelala wanaface roof wanangoroma kama tractor lakini wakilala kwa ubavu wanangoroma kama kawaida.Wengine wasipo tumia mto pia wanakuwa na hilo tatizo.Ni wewe mwenyewe kumsaidia kuchunguza.

Haya mambo ya kunianika hadharani jamani sio mazuri, tungelijadili kwanza tukubaliane kama tunaliweka public or no.

Alaa kumbe ni weye sheikh? Eid Mubarak!

lol! tafuta ear plugs uwe unatumia. kuhusu farting, sina hakika kama kuna muffler salama kwa bin adam,hebu google.

We Naz usi2chefue,inaelekea hujafundwa..kama unampenda huyo m2 ungekuwa mstaarabu kutafuta ushaur in a private way co kuanika mambo ya chumban kwny Jf .JIHESHIMU NACC UTAKUHESHIMU.

Naz jaz na huyo bwana wake wote wanaishi disney kwenye cartoons world

ukipenda hizo ndizo raha za kukwepu kwepua na huo ndio msalaba wako

Tangu juzi niko kisiwani Mafia kwa mapumziko ya ldd nikiwa na chombo kipya. He is tall, black, mascular without a tammy belly.
Pesa anayo, mwerevu na mkarimu. Kitandani ni zaidi ya maelezo, muziki wake mzito ati!!!!! Tatizo lake baada ya kumaliza mechi, hulala fofofo, hukoroma kwa sauti ya juu sana kiasi kwamba nashindwa kulala, usiku uliopita amekoroma hadi watu wa first aid wakaja wakidhani tunatatizo. Pia huwa anajamba kila wakati tena kwa sauti na bila kujalisha tuko na nani, marafiki zake ama marafiki zangu, hili naona liko nje ya control yake. Je nimsaidieje shemeji yenu na kumwacha sitaki hata kidogo?

Hapo kwenye red kuwa makini isije kuwa misuli imelegea kwa ajili ya kupumuliwa kisogoni

Best,unge2mia tafsida.c vzr sir za mwenza wako kuweka ivo.mbna hujsemi zako unaanka vya mwenzio.kuwa makini

mmmh! Kujamba hata mbele za watu,duuh tena kwa sauti? Kaz unayo dada angu,bt co ishu kama anakupiga mti fresh mbona haina tatizo hyo

Yawezekana ana KIPAJI ambacho mwenzake (thread initiator) hajui.......MAMBO YA MOMBASA HULETA HALI HIYO YA MISHUZI BILA SPEED AND/OR LOCATION MONITOR......

Alaa kumbe ni weye sheikh? Eid Mubarak!

Minalfaidhina sheigh!unaona jinsi nilivyoanikwa? Kisa kujamba?? Kwani kuna asiye jamba jamani?? Kama system ya digestion ni nzuri kwanini usijambe? Dah?

Yawezekana ana KIPAJI ambacho mwenzake (thread initiator) hajui.......MAMBO YA MOMBASA HULETA HALI HIYO YA MISHUZI BILA SPEED AND/OR LOCATION MONITOR......

Yah nikawaida ya HAO watu kujambajamba ovyo sometime kujinyea bila idhini yake, KAMA ANAJAMBA MARA NYINGI KWA SIKU,ampeleke kwenye viwanda vinavyotengeneza dawa za kuua wadudu watatajirika sana.

Yawezekana ana KIPAJI ambacho mwenzake (thread initiator) hajui.......MAMBO YA MOMBASA HULETA HALI HIYO YA MISHUZI BILA SPEED AND/OR LOCATION MONITOR......

nipo Tandale kwa nasikia harufu kali sana, sijui bwana wa Nazjaz yuko anga hizi?

mwulize kama rababend yakuwapa wenzie wazikate, manake kama bado ziko fresh angejizuia....huyo mjinga kujamba mbele za watu hana akili....jambajamba huyo..

Dawa ya kuacha kukoroma ni rahisi sana endapo atazingatia. Ni hivi, kukoroma kunatokana na kulegea kwa koromoe. Kwa hiyo ili koromeo lirudi katika hali yake ya kawaida, anatakiwa kufanya mazoezi ya kutoa ulimi wote nje ''frequently'' mara 20 kila siku asubuhi na kijini. Zoezi hili anatakiwa kulifanya kwa wiki mbili mfululizo!

Kwa kufanya hizo, misuli ya kwenye koromeo itakaza na ataacha kukoroma.

Masaki
ni kitu gani kinasababisha watu kukoroma? Nadhani kujua hilo kutasaidia na sisi wengine tusije wasumbua akina Nazjaz!!
Du, lakini Nazjaz nae ana mambo, yaani kila siku ana issue ya ajabu.... sasa anajambiwa... na kukoromewa na shemeji mpya!

Laana ya Mwenyezi Mungu ikushukie kwa kuihusisha sikuku ya Eid na ufuska wako.

Umekwenda kwenye ufuska na laana zako na hazihusiani na Eid kabisa. Tafadhali usikejeli imani za watu. Waislaam hatusherehekei Eid kwa ufuska.

vunja jungu huwa mnafanya kingunguo?

Similar Discussions

Back
Top Bottom