JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,330
- 17,917
Wala usijibu,potezea,anajifanya kwamba anakuonea huruma,MTU muungwana,akitaka kukuacha anakuambia live,huyo bi Dada bado hajakomaa,wala usijibu,endelea na maisha,kama cash money IPO kula bata,,waza pesa tu,utapata mwingine bomba,,ilishanitokea hiyo,ila wangu alinipigia cm,akasema Mimi na yeye basi,nikasema poa,wiki haikupita alinitafuta mwenyewe,
mkuu pole sana achana nae tafuta pesa .