Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Yan tuma ya ndege kabisa dearNikutumie hela ya nauli dear?![]()
Yan tuma ya ndege kabisa dearNikutumie hela ya nauli dear?![]()
shikamoo kakaHujambo
nitumie laki chapu hapoNa mimi nataka unipe shikamoo!!![]()
![]()
![]()
na wewemiss chagga:
umerogwa wewe
Tafadhali naomba namba yake nami nataka kuchunwaHabari zenu wakuu....
Wiki iliyopita nilikutana na msichana mzuri sana mrefu mweupe.
Hajajazia sana ila kiukweli nimempenda anavutia.
Alikuwa anapita maeneo ya hapa na biashara zangu, nikampiga mkono akasimama.
Akanipa namba za simu, sikukawia nikatangaza shida zangu.
Naye akanielewa, sasa ikawa nimtumie nauli tukutane faragha. Nikamtumia nauli cha ajabu hakuja na kila nikipiga sim hapokei.
Baadae akaja kupokea mtu ananambia mwenye sim kaenda kuoga.
Je nifanyeje jamani, nauli nimetuma vocha ndo usiseme nimemtumia sana hela za chipsi nimetuma sana.
Ni hayo tu....
nimechunwa kama buzzna wewe
ukomenimechunwa kama buzz
miss chagga:ukome
kama wewemiss chagga:
umerogwa wewe
Galawa:Kama ulikua unamtumia kwa mpesa na unahidi unao kamshitaki mahakamani
harder king:Mtumie tena nyingine kama hajakublock na ubashite wako

Rais wa malofa:Kakojoe ulale mkuu.
chuma cha mjerumani:hao wanawake mnawaokotaga wapi.
Sasa hao mpaka utume nauli ni Wa wapi? Ila kagundua weye ni boyaHabari zenu wakuu....
Wiki iliyopita nilikutana na msichana mzuri sana mrefu mweupe.
Hajajazia sana ila kiukweli nimempenda anavutia.
Alikuwa anapita maeneo ya hapa na biashara zangu, nikampiga mkono akasimama.
Akanipa namba za simu, sikukawia nikatangaza shida zangu.
Naye akanielewa, sasa ikawa nimtumie nauli tukutane faragha. Nikamtumia nauli cha ajabu hakuja na kila nikipiga sim hapokei.
Baadae akaja kupokea mtu ananambia mwenye sim kaenda kuoga.
Je nifanyeje jamani, nauli nimetuma vocha ndo usiseme nimemtumia sana hela za chipsi nimetuma sana.
Ni hayo tu....
ningelimwagia zegeAcha kulalamika hela tu ya chipsi ndo inakutoa povu, ungehonga gari je?
Hilo ni fundisho hope sikunyngne huez rudia
kunasim had za 1000 au utaweza honga 6 button phone hasa sijajua ww unazungumzia sim ganNauli na chips tuu unalialia je ungehonga simu![]()