Huyu mwanamke kanitapeli

Huyu mwanamke kanitapeli

Sasa mkuu kama kila ukiombwa unatowa unategemea nini hapo.

Siku zote mazowea huwa tabia hamjui tu
duuh kumbe ndo tabia zenu ee, mtawaumiza sana hao watu......
ndo nimeanza kuona raha ya kuwa MTAWA
 
Sasa mkuu kama kila ukiombwa unatowa unategemea nini hapo.

Siku zote mazowea huwa tabia hamjui tu
emmyta:
Mi mtu fulani nina huruma sana sana, nataka nikuhakikishie ata kama inatokea nikawa nawewe hutajuta.
Ni PM
 
MO11: nafanyaje mkuu, yeye kama hanitaki angesema tu kuliko kunitapeli
Ww ulijichanganya mkuu siku hizi akisema hana nauli tunawaambia chukua usafiri ( Pikipiki, tax or bajaji) ukifika nalipa mm. Pia hukupaswa kuanza kutuma pesa za vocha + chips wakati bado hujaonja .Next time utakuwa makini zaidi
 
Kama ulikua unamtumia kwa mpesa na unahidi unao kamshitaki mahakamani
 
Akili iliongozwa kutokea chini

Aliwaza zaidi chini

Kuna vitu vya kushauri ila kwa hili acha tu atapeliwe
Umeonaee akae tu kimya ila ndio ajifunze. Pia nionavyo itakuwa hana mbinu za kudumisha penzi hivyo akaona pesa ndio kila kitu

Imekula kwake hiyo.
 
Hawawezi kuumia kwa sababu walio wengi wanatoa kwa mapenzi yao hatuwalazimishi.
nahisi mapenzi ya huo utoaji lengo huwa ni win win situation na siyo ya kuwini mmoja mwingine apoteze kama jamaa alivopoteza halafu mdada kageini,

sasa ikishatokea ya mmoja kupoteza ndo kama ivi wanakuja kuomba njia ya kupita ili aifikie win win situation
 
Tatizo umelitengeneza wewe mkuu

Kwanza ID yako inasadifu umerogwa wewe
Pili hukupaswa kuingia mzima mzima ulipaswa ujue location yake kisha umtembelee mitaa yake ili nauli isitumike labda elfu moja toka kwake mpaka hapo ulipopiga kambi.

Yasingetokea hayo mkuu

BTW jifunze kwa makosa yako
Nyagei:
ID sio tatizo mkuu, tatizo ni kumuamini sana.

Unajua biashara zetu za pesa mitandaoni muda mwingi tuko kazini.

Sasa kutoka inakuwa ngumu that's why nikaona nimvute yeye aje mpaka ofisini then nimpeleke Old Trafford
 
Back
Top Bottom