Huyu mwanamke kanitapeli

Huyu mwanamke kanitapeli

Habari zenu wakuu....
Wiki iliyopita nilikutana na msichana mzuri sana mrefu mweupe.
Hajajazia sana ila kiukweli nimempenda anavutia.

Alikuwa anapita meneo ya hapa na biashara zangu, nikampiga mkono akasimama.
Akanipa namba za sim, sikukawia nikatangaza shida zangu.

Naye akanielewa, sasa ikawa nimtumie nauli tukutane faragha. Nikamtumia nauli cha ajabu hakuja na kila nikipiga sim hapokei.

Baadae akaja kupokea mtu ananambia mwenye sim kaenda kuoga.

Je nifanyeje jamani, nauli nimetuma vocha ndo usiseme nimemtumia sana hela za chipsi nimetuma sana.

Ni hayo tu....
Una miaka mingapi?, hiyo hela ya nauri sh 10,000 ndio uje ujaze server za jf?
 
Habari zenu wakuu....
Wiki iliyopita nilikutana na msichana mzuri sana mrefu mweupe.
Hajajazia sana ila kiukweli nimempenda anavutia.

Alikuwa anapita meneo ya hapa na biashara zangu, nikampiga mkono akasimama.
Akanipa namba za sim, sikukawia nikatangaza shida zangu.

Naye akanielewa, sasa ikawa nimtumie nauli tukutane faragha. Nikamtumia nauli cha ajabu hakuja na kila nikipiga sim hapokei.

Baadae akaja kupokea mtu ananambia mwenye sim kaenda kuoga.

Je nifanyeje jamani, nauli nimetuma vocha ndo usiseme nimemtumia sana hela za chipsi nimetuma sana.

Ni hayo tu....
Umerogwa wewe

Hahahaha
 
Kama vyura vile!!! Funga ujinga wako unatuibisha wanaume wa JF.kila nikiona Uzi za nmana hii nakumbuka maneno ya b mdada mmoja hapa JF alisema wanaume wanapungua nilikasilika nikasema no! Tukajibizana kwa hoja .. Sikuamin sasa naona mwenyewwe,basi tena!
 
Habari zenu wakuu....
Wiki iliyopita nilikutana na msichana mzuri sana mrefu mweupe.
Hajajazia sana ila kiukweli nimempenda anavutia.

Alikuwa anapita meneo ya hapa na biashara zangu, nikampiga mkono akasimama.
Akanipa namba za sim, sikukawia nikatangaza shida zangu.

Naye akanielewa, sasa ikawa nimtumie nauli tukutane faragha. Nikamtumia nauli cha ajabu hakuja na kila nikipiga sim hapokei.

Baadae akaja kupokea mtu ananambia mwenye sim kaenda kuoga.

Je nifanyeje jamani, nauli nimetuma vocha ndo usiseme nimemtumia sana hela za chipsi nimetuma sana.

Ni hayo tu....
Kumbe ndo wewe 'umepigwa' na housegirl wangu!
 
Hyo nauli ya bodaboda 1500 ndy upige kelele humu?inaonyesha ungetoa 20000 ungetuma hadi kwa mange kimambi...iwe ni special thread... Mambo kama hayo unaacha tu...mimi mwzio demu nikimtaka nikipata no yake tu natia 100000 tigo pesa halafu najifanya nimekosea namba...na simtafuti baada ya kutuma pesa...anaahangaika yeye kujuwa mm ni nani..
Vitu kama hvyo vidogo vidogo ndy vinaongeza CV ZAKO..kumbuka MONEY BRING BITCH and BITCH BRING LOVE
 
pesa kipaumbele maneno ni ziro msound kwanzaaa akuelewe alaaaah
 
Wapigie voda waeleze kuwa siku furani nilikosea kutuma pesa kwahiyo naomba mnirudishie....kama ana salio watakurudishia mara moja....voda hawapendi ujinga.....mm nimefanya hivyo mara mbili nikafanikiwa na mara mbili nikaliwa. Kwahiyo nawe jifunze kutotuma pesa kwa hao viumbe....hata huyu ambae huwa najipozea nimetumia namba nyingine kumtongoza kajilengesha mwenyewe hadi nimeduwaa...maana anatuma SMS hadi usiku sana alafu ameomba nimtumie nauli aje...ila hajajua kama ni mm kipozeo chake...nimetulia tuli, namsikilizia!!!. Kwenye simu aliyoizoea utakuta saa kumi na mbili jioni ananitumia good night my'....alafu hii nyingi anatuma ma SMS ya kufa mtu hadi saa nane usiku alafu saa kumi na moja anatuma nyingine umeamkaje?... Mara jitahidi tuma nauli, kuwa makini na viumbe hawa!!!!!... Mshukuru Mungu kama ni mzima, haya mengine usilaumu maana huwezi jua ni kwann imekuwa hivyo!!!!. Ila mwambie UJE usije haina shida!!!!... Alafu tulia
 
Hyo nauli ya bodaboda 1500 ndy upige kelele humu?inaonyesha ungetoa 20000 ungetuma hadi kwa mange kimambi...iwe ni special thread... Mambo kama hayo unaacha tu...mimi mwzio demu nikimtaka nikipata no yake tu natia 100000 tigo pesa halafu najifanya nimekosea namba...na simtafuti baada ya kutuma pesa...anaahangaika yeye kujuwa mm ni nani..
Vitu kama hvyo vidogo vidogo ndy vinaongeza CV ZAKO..kumbuka MONEY BRING BITCH and BITCH BRING LOVE
soma uzi mzima mkuu...
 
Wapigie voda waeleze kuwa siku furani nilikosea kutuma pesa kwahiyo naomba mnirudishie....kama ana salio watakurudishia mara moja....voda hawapendi ujinga.....mm nimefanya hivyo mara mbili nikafanikiwa na mara mbili nikaliwa. Kwahiyo nawe jifunze kutotuma pesa kwa hao viumbe....hata huyu ambae huwa najipozea nimetumia namba nyingine kumtongoza kajilengesha mwenyewe hadi nimeduwaa...maana anatuma SMS hadi usiku sana alafu ameomba nimtumie nauli aje...ila hajajua kama ni mm kipozeo chake...nimetulia tuli, namsikilizia!!!. Kwenye simu aliyoizoea utakuta saa kumi na mbili jioni ananitumia good night my'....alafu hii nyingi anatuma ma SMS ya kufa mtu hadi saa nane usiku alafu saa kumi na moja anatuma nyingine umeamkaje?... Mara jitahidi tuma nauli, kuwa makini na viumbe hawa!!!!!... Mshukuru Mungu kama ni mzima, haya mengine usilaumu maana huwezi jua ni kwann imekuwa hivyo!!!!. Ila mwambie UJE usije haina shida!!!!... Alafu tulia
Dundo_Boy
Hawa viumbe ukiwapa hela wanakuona zezeta ukiwabana wanakuona bahili..

Ila hakuna tatizo najua atapiga tu sim nampa makavu
 
Back
Top Bottom