Huyu mwanamke kanitapeli

Huyu mwanamke kanitapeli

we ni mjinga. aana mkuu unatumaje hela mtu humjui ni dada yako yule au mama yako?sikuhzi biashara ni tit for tat anakuja unakula mzigo ndo unatoa hela pole sana
mtzmweusi:
hivi ushawahi kutana na dem mkali anatembea kwa mguu??

Ndipo nilivyomuopoa huyu bidada nilimkuta anachapa lapa nikampiga mkono akasimama.

Nilimuweka detention kama saa nzima hivi pale kiofisini kwangu ndio tuseme nilikuwa kazini lakini nilikuwa na uwezo wa kwenda nae ata lodge au hata bar kupata vinywaji n.k

Sasa nikajenga imani ndio maana nikawa namtumia pesa.
 
Umetuma shlng ngapi nikurudishie unipe hiyo namba
Nauli nimetuma tshs. 22,000/=

Vocha hizi zinafika tshs. 13,000/=

Hela za chipsi nimetuma mara nne tshs. 20,000/=

Je ndogo hizo???
 
Ndio hapo sasa. Yaani hastahili kulalamika kwa aina yeyote. Kwa sababu sidhani kama kila anayeomba lazima apewe.
halafu hapo naamini alikuwa anacheza kwenye faida tu.

Ila na nyie mumezidi mkuu, mmekuwa omba omba sana utafikiri wote yatima vile khaa, mpunguze aisee........
 
Habari zenu wakuu....
Wiki iliyopita nilikutana na msichana mzuri sana mrefu mweupe.
Hajajazia sana ila kiukweli nimempenda anavutia.

Alikuwa anapita meneo ya hapa na biashara zangu, nikampiga mkono akasimama.
Akanipa namba za sim, sikukawia nikatangaza shida zangu.

Naye akanielewa, sasa ikawa nimtumie nauli tukutane faragha. Nikamtumia nauli cha ajabu hakuja na kila nikipiga sim hapokei.

Baadae akaja kupokea mtu ananambia mwenye sim kaenda kuoga.

Je nifanyeje jamani, nauli nimetuma vocha ndo usiseme nimemtumia sana hela za chipsi nimetuma sana.

Ni hayo tu....
Ulimtumia sh ngapi mkuu?
 
halafu hapo naamini alikuwa anacheza kwenye faida tu.

Ila na nyie mumezidi mkuu, mmekuwa omba omba sana utafikiri wote yatima vile khaa, mpunguze aisee........
Sasa mkuu kama kila ukiombwa unatowa unategemea nini hapo.

Siku zote mazowea huwa tabia hamjui tu
 
thasit:
Yule msichana nilimpenda sana, na mda mfupi alinielezea shida nyingi sana.
Nikaingia huruma na kama unavyojua wanaume ni dhaifu kwa wanawake

brother usiongee generally kias hiko et wanaume ni dhaifu kwa wanawake.....sema" baadhi yetu sisi wanaume ni dhaifu kwa wanawake"
 
Habari zenu wakuu....
Wiki iliyopita nilikutana na msichana mzuri sana mrefu mweupe.
Hajajazia sana ila kiukweli nimempenda anavutia.

Alikuwa anapita meneo ya hapa na biashara zangu, nikampiga mkono akasimama.
Akanipa namba za sim, sikukawia nikatangaza shida zangu.

Naye akanielewa, sasa ikawa nimtumie nauli tukutane faragha. Nikamtumia nauli cha ajabu hakuja na kila nikipiga sim hapokei.

Baadae akaja kupokea mtu ananambia mwenye sim kaenda kuoga.

Je nifanyeje jamani, nauli nimetuma vocha ndo usiseme nimemtumia sana hela za chipsi nimetuma sana.

Ni hayo tu....
Mjin shule..... pole kwa kutapeliwa kirahis... siku nyingine uwe mjanja.
 
Nyagei:
Sawa mkuu ila pesa inauma na unajua rais ni nani sasa hivi
Tatizo umelitengeneza wewe mkuu

Kwanza ID yako inasadifu umerogwa wewe
Pili hukupaswa kuingia mzima mzima ulipaswa ujue location yake kisha umtembelee mitaa yake ili nauli isitumike labda elfu moja toka kwake mpaka hapo ulipopiga kambi.

Yasingetokea hayo mkuu

BTW jifunze kwa makosa yako
 
Back
Top Bottom