Huyu mwanamke kanitapeli

Huyu mwanamke kanitapeli

Acha kulalamika hela tu ya chipsi ndo inakutoa povu, ungehonga gari je?
Hilo ni fundisho hope sikunyngne huez rudia
Mimi nimepigwa mshahara wa miezi miwili kwa kujipendekeza tu wala hakuniomba na sijaona ndani, lengo lilikuwa kumuonesha upendo kumbe nilikuwa namuonesha ufala pasipo kujua , kila nikitaka mzigo naambiwa nitulie nisiwe na haraka
 
pole mkuu sasa hivi pesa ngumu kupatikana
 
Nauli nimetuma tshs. 22,000/=

Vocha hizi zinafika tshs. 13,000/=

Hela za chipsi nimetuma mara nne tshs. 20,000/=

Je ndogo hizo???
Hizo zako zidisha mara 17 utapata hesabu ya nilizopigwa mimi, tulia tu ukicheza kamali uwe tayari kuliwa
 
Tatizo umelitengeneza wewe mkuu

Kwanza ID yako inasadifu umerogwa wewe
Pili hukupaswa kuingia mzima mzima ulipaswa ujue location yake kisha umtembelee mitaa yake ili nauli isitumike labda elfu moja toka kwake mpaka hapo ulipopiga kambi.

Yasingetokea hayo mkuu

BTW jifunze kwa makosa yako
Ukijua location utambaka?
 
Huo zaidi ya ubwege na utaibiwa sana hadi uwe mwanamme suruali
 
Wanaume wa dar huwa mwatuponda sana ila cc vichwa aseee hukuti ujingaujinga km huu nimecheeeeeeka ukivyopigwa kishamba watoto wa buguruni hao!
 
Back
Top Bottom