Huyu mwanamke kanitapeli

Huyu mwanamke kanitapeli

Mimi nimepigwa mshahara wa miezi miwili kwa kujipendekeza tu wala hakuniomba na sijaona ndani, lengo lilikuwa kumuonesha upendo kumbe nilikuwa namuonesha ufala pasipo kujua , kila nikitaka mzigo naambiwa nitulie nisiwe na haraka
polee.
 
Habari zenu wakuu....
Wiki iliyopita nilikutana na msichana mzuri sana mrefu mweupe.
Hajajazia sana ila kiukweli nimempenda anavutia.

Alikuwa anapita maeneo ya hapa na biashara zangu, nikampiga mkono akasimama.
Akanipa namba za simu, sikukawia nikatangaza shida zangu.

Naye akanielewa, sasa ikawa nimtumie nauli tukutane faragha. Nikamtumia nauli cha ajabu hakuja na kila nikipiga sim hapokei.

Baadae akaja kupokea mtu ananambia mwenye sim kaenda kuoga.

Je nifanyeje jamani, nauli nimetuma vocha ndo usiseme nimemtumia sana hela za chipsi nimetuma sana.

Ni hayo tu....
Mwanamme wa dar utakuwa wewe
 
Umenichekesha et umempiga mkono hahaaa mambo ya trafik naww umepigwa bao la mkono
 
Mvumilivu hula mbivu, usikate tamaa. kaza kaza, endelea kutuma ipo siku atakuja tuu!
 
Back
Top Bottom