Huyu mwanamke kanitapeli

Huyu mwanamke kanitapeli

Mara ya mwisho kutuma hela kijijini kwa wazee wako ni lini?
 
Akimalza kuoga safari ni ya kuja kwako mkuu relux na acha mawenge.
 
Dundo_Boy
Hawa viumbe ukiwapa hela wanakuona zezeta ukiwabana wanakuona bahili..

Ila hakuna tatizo najua atapiga tu sim nampa makavu
Huu msimu wa Magufuri wanatakiwa wapewe kauli za kikatili...yaani wengi wamekuwa matapeli sasa, tabia zao wamezianika wazi sasa....namshukuru Magufuri kwa kufanya yote aliyoyafanya...tambia mbaya za watu wengi zimeanza kuonekana waziwazi. Wanawake ni wezi zijapata kuona, kuna mwingine kavuna mazao yangu shambani yaani!, mwingine kakimbia na simu zangu mbili, haaa!... Hatari sana!!! Cheza nao mbali aisee!
 
Ungemwambia akope then mkimalizana nae ndo ufanye ustaarabu
 
Back
Top Bottom