Huyu mwanamke kanitapeli

Huyu mwanamke kanitapeli

hahahaha

Kuna vitu vya kushauri ila kwa hili acha tu atapeliwe[/QUOTE]
 
nahisi mapenzi ya huo utoaji lengo huwa ni win win situation na siyo ya kuwini mmoja mwingine apoteze kama jamaa alivopoteza halafu mdada kageini,

sasa ikishatokea ya mmoja kupoteza ndo kama ivi wanakuja kuomba njia ya kupita ili aifikie win win situation
Haisaidii sasa anakuwa ameshashindwa kujiongeza tangu mwanzo hivyo ni vyema maumivu angebaki nayo tu kwani hapa naona anajitonesha vidonda vyake.
 
Habari zenu wakuu....
Wiki iliyopita nilikutana na msichana mzuri sana mrefu mweupe.
Hajajazia sana ila kiukweli nimempenda anavutia.

Alikuwa anapita meneo ya hapa na biashara zangu, nikampiga mkono akasimama.
Akanipa namba za sim, sikukawia nikatangaza shida zangu.

Naye akanielewa, sasa ikawa nimtumie nauli tukutane faragha. Nikamtumia nauli cha ajabu hakuja na kila nikipiga sim hapokei.

Baadae akaja kupokea mtu ananambia mwenye sim kaenda kuoga.

Je nifanyeje jamani, nauli nimetuma vocha ndo usiseme nimemtumia sana hela za chipsi nimetuma sana.

Ni hayo tu....
Endelea kumtumia atakuja tu mana hela kazi ndio hiyo
 
yajutu:
We acha tu mkuu tatizo pesa yangu ndo inaniuma
Hawa dawa yao kuwa kauzu tu hakuna kutoa hela na ikiwezekana kula kwa mkopo au fanya kama huyu jamaa
ed34459f77515073dbf36c86cf0a441b.jpg
 
Ungemwambia akope,japo huwa hawakubali hilo,ila pole.umetapeliwa kiasi gani mkuu? Sio umetuma kielfu 20 ndio unakianzishia uzi hapa
 
Back
Top Bottom