Huyu Mwanamke hivi nimfanyeje jamani?

Huyu Mwanamke hivi nimfanyeje jamani?

Yaani wewe nadhani huwa unatafuna mzizi wa mbangi lol!

hehehe kwa nn Mwana.?
Hivi mzizi wa bange unatafunwa? Ila kwetu mbegu zake huo mmea ni kiungo kizuli cha mboga kama alizeti nakipenda sana tunatumia sana ukipika nyama au futari uweke hiyo aaaahaa Mwana.utasahau kwenu ohh
 
Wajua mzizi ndo mkali sana maana unahifadhi hazina ya mti mzima! Una vituko weye haya enjoy your day
 
Yeah pin code mi naona ndo dawa ndo kiboko ya wanawake wanao kodolea kodolea cmu ukienda bafuni mtu anakodolea.
 
Mkuu,

si kicheche bali ninampango naye..a future plan nd'o maana
hii tabia yake inaniuzi kweli despite kumwambia I dont like it.

You should know that most women do spying for various reasons. Inspection of wallets and phones is not a new phenomena to them. Protect yourself from that by knowing it , and take necessary precautions like coding your Nokia.

Ila kama hujamuoa akaanza inspections mzee jihadhari maana baada ya kutai knots haitakuwa inspection tena. Atataka full control of you and yourself including your privacy and everything else .
 
....naam, na kwa ndugu zanguni ambao hamjaoa hii kitu inaitwa "PINGU YA MAISHA!"... pingu pingu kweli!

...shauri yenu!
 
Its obvious unamyeyusha na inaonyesha wazi utulivu haujakaa sawa kiaina upande wako.
Tatizo huwa hatuko wazi tunapoingia ktk mapenzi hivyo tunaenda kisanii sanii tu. If you real feel each other, hakuna haja ya kufichana fichana.

What are your worries anaposhika simu,

May be hujatuweka wazi kisawasawa, otherwise unatafuta justification ya kumwaga.
 
bnhai,

simdanganyi mtu...hii kitu ni serious nd'o maana naomba
wasia nisije nikaharibu mambo.

shukran.
kuna sababu nyingi zinamfanya mwanamke apekue simu ya mpenzi wake na hassa kwenye stage za awali, inaweza kuwa umefanya jambo ambalo yeye anahisi kuna kidudu mtu pembeni, AU inaweza kuwa kutokana na her experience from other men anajua nawe waweza kuwa hivyohivyo but also sometimes tunapekuwa simu za waume zetu ili tuwaamini moja kwa moja, endapo huyo mwanamke atakuwa anapekuwa kila siku ikifika mwezi au miezi miwili akiona hakuna anything suspicious ataacha believe me on that. lakini hivyo ambavyo unaonesha unakasirika na unamind yeye kufanya hivyo ndo kwanza unapalilia makaa ya moto na niamini navyokwambia hatoacha na kitakuwa chanzo cha ugomvi usio na kichwa wala miguuu kila siku kati yenu.kwasababu ataamini huwezi kumind kama uko msafi kutakuwa na kitu tuu unaficha even though not necessarly to be true its just the matter of privacy(privacy is not in most couple's vocabulary). but bcoz u said u want to hav a future with her,plz let her be if u hav nothing to hide its just a matter of time she is goin to quit.
 
Its obvious unamyeyusha na inaonyesha wazi utulivu haujakaa sawa kiaina upande wako.
Tatizo huwa hatuko wazi tunapoingia ktk mapenzi hivyo tunaenda kisanii sanii tu. If you real feel each other, hakuna haja ya kufichana fichana.

What are your worries anaposhika simu,

May be hujatuweka wazi kisawasawa, otherwise unatafuta justification ya kumwaga.

Baikal karibu
unayosema ni kweli kabisa ila inategemea anaishikaje hiyo simu. Kuna wengine wanaishika kama mainspector yaani kila ukirudi hom au ukikutana naye tu basi hata salamu anasahau mbio kwenye simu then yanafuata maswali kibaaaao huyu nani mbona hii namba haijasaviwa ni nnani yako n.k.
Am sure hata kama uko free namna gani maswali ya aina hii yatakuboppre tu as days goes on. Am telling you!

Kuishika kwa maana ya either anataka kutumia aui hata anacheza game its ok and good but not inspecting! Hii ina maanisha kuwa hajakuamini bado na hakuna kitu kinachouma kwenye mahusiano kama kujua mwenzi wako hakuamini, anakuona wewe mapepe demu wa kingwendu
 
hahhahahha umenichekesha hiyo demu wa kingwendu mapepe mapepeeeeeeee sijauona siku nyingi kwenye TV. ila shost wanaume wenyewe ndo hawahawa akina fide na Yo Yo utaacha kuangalia hiyo simu mammy? akuu babu lazima niinspect ,sema huyo mwanamke mwenzetu hajui wakati gani wa kuinspect. mie mume wangu ukimwambia kama napekuaga simu yake atakukatalia futi mia moja kumbe ukweli napekua lakini hajui, na wala siulizi maswali mtu huwa najiuliza mwenyewe na natafuta majibu mwenyewe na nayapata mwenyewe na natosheka mwenyewe.nasubirigi amelala fo fo fo mie taratiiiiiiibu najigeuza mpelelezi mashuhuri Willy Gamba... ahhahahhahah(jokes)
 
... Si ndo hapo shost?
Mie nilijaribu siku za mwanzoni shost nkakuta kila siku hakuna sms hata moja alotumiwa na simu pia hapigiwi nkajua kunalo jambo. Na siku alipojisahau kufuta ndo nikakoma mwenyewe na kisebusebu na kiroho papo- tangu siku hiyo mh!! hata aisahau siku kutwa! Sithubutu
 
Ab-Tichaz, ma'man!

Mchawi mpe mtoto akulelee!

Sasa fanya hivi - "safisha simu yako" kwanza, halafu msusie hiyo simu kwa kama wiki hivi. Mwachie akae nayo 24/7. Aende nayo job, aingie nayo bafuni, akalale nayo...potelea mbali. Mwachie iwe teddybear wake.

Ila babu, ninapozungumzia safisha, isafishe kwelikweli. Phone book, call history, texts, na muhimu kuliko vyote safisha watu unaowasiliana nao mara kwa mara (hasa waleeeeee). Waambie kabisa, line yako itakuwa bize kwa wiki mzima, na kwamba wasithubutu kutuma hata ujumbe wa "pliz call me."

Pindi wiki ikiisha, utaona mwenyewe.....hata ikiita kwenye kiganja chake, hatoichungulia ng'o...
 
Mkuu nunua cmu 2 moja utakuwa unatumia kazini ingine home tu.
 
hahhahahha umenichekesha hiyo demu wa kingwendu mapepe mapepeeeeeeee sijauona siku nyingi kwenye TV. ila shost wanaume wenyewe ndo hawahawa akina fide na Yo Yo utaacha kuangalia hiyo simu mammy? akuu babu lazima niinspect ,sema huyo mwanamke mwenzetu hajui wakati gani wa kuinspect. mie mume wangu ukimwambia kama napekuaga simu yake atakukatalia futi mia moja kumbe ukweli napekua lakini hajui, na wala siulizi maswali mtu huwa najiuliza mwenyewe na natafuta majibu mwenyewe na nayapata mwenyewe na natosheka mwenyewe.nasubirigi amelala fo fo fo mie taratiiiiiiibu najigeuza mpelelezi mashuhuri Willy Gamba... ahhahahhahah(jokes)
i'm born again baby........
 
... Si ndo hapo shost?
Mie nilijaribu siku za mwanzoni shost nkakuta kila siku hakuna sms hata moja alotumiwa na simu pia hapigiwi nkajua kunalo jambo. Na siku alipojisahau kufuta ndo nikakoma mwenyewe na kisebusebu na kiroho papo- tangu siku hiyo mh!! hata aisahau siku kutwa! Sithubutu
hahahhahah mummy kilanga kikakuisha? aliyekwambia waweza kumchunga mtoto wa mwanamke mwenzio mliokutana ndevu zimeota nani?
 
i'm born again baby........
mhhhh haya mwaya ila hizo karanga unazokula na matikiti maji kwa wingi ndizo zantia shaka, zisije zikakutia najisi....zikakutia majaribuniiiiiiii
 
Wewe bana eeeehhh!!!...haya basi.I''m planning my future
with her...seriously!

Kama una plan naye future basi kuwa muwazi tuu, mwambie kama una marafiki wa kike na kama anataka umtambulishe mtambulishe na ukipigiwa simu wewe pokea mbele yake(hili linafanya kazi).
 
Inawezekana si KICHECHE labda yeye anamdanganya na binti wa watu yupo serious

Wana JF tusikimbilie kwenye matusi, mwenzetu kaomba ushauri na tatizo hili ni la wengi.

Nashauri hv mwenzetu usiwe na nidhamu ya woga hakuna haja ya kufunga simu kwa code, mkalishe umwambie kuwa hufurahishwi na tabia hiyo na kwamba wewe binafsi huna tabia hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom