Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
- Thread starter
- #21
Mpe straight kuwa haupendi tabia hiyo. Nimegundua watu wengi haswa mwanzoni mwa uhusiano wana penda kusugar coat kila kitu wasionekane wabaya. Bora umpe direct kuwa haupendi tabia hiyo na asipo change you will move on. Akiona anaweza kukupeleka kwenye jambo hili basi she will take advantage of you kila siku.
Mwanafalsafa1,
ukweli wa mambo nishampa lakini ndio hivyo.I think kuna a
cultural difference between us.I have no intentions of letting her
ride me like a horse nd'o maana nilimwambia hii tabia ya kuangalia
simu yangu na kuniuliza huyu nani, I'm not having it. Imagine you
gotta explain almost all calls on your cell phone!...Jeez.
Dont get me wrong maana mwanamama mwenyewe poa kishenzi
but I believe in her previous relation alikutana na rijali ambaye
alikua na vicheche kibao na sasa ana wasiwasi kua pia mimi njia ni hio.
Hata nikimwambia mimi mwafrika sina vijitabia vyao hataki kuelewa.
Regards.