Wacha bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hisia zangu hujawahi kuziheshimu[emoji39][emoji39]tena nakuonyesha wala sijawahi kukuambia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usimfanyie mwenzako hivi!
ππππRafiki kumbe ni wewe nakuona kila mara unapita na lile li sport, Yesus! Kweli watu mnakula kivulini...
π π πMan down; I repeat man down. Alpha do you copy? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
π π π πUmempa moyo wako bure na bado anakusumbua..
Wakati wenzio wamewapa watu figo na wamelipwa mamilion
π π πUmempa moyo wako bure na bado anakusumbua..
Wakati wenzio wamewapa watu figo na wamelipwa mamilion
Long distance relationship tuwaachie wakorea na wafilipino tu .. sisi wabongo asiye kuwepo na lake halipo πTupo mikoa tofauti kwa sasaπ’
Bwana bwana π π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila watu wakijua wanapendwa wanatesa wenzao jamani
π π πMkuu, yule mwali alisababisha nikawa mlevi hadi nikafukuzwa kazi imagine...
Sasa nilikutana nae mwaka jana eneo flani nami kidogo mambo hayakua mabaya sana, binti kachoka kachakaa.... Aliponisemesha nilimwambi "excuse me mother", nikamwambia amenifananisha na yule ni pacha wangu...π€£π€£π€£
Copy that!Man down; I repeat man down. Alpha do you copy? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wabheja sana nkohi, neleo oneneYeehhh...
Wang'wise, tuliho nkoyi....[emoji23][emoji23]
Sawa, wabheja sana mamiiiΕͺnene nalΔ«mhola nzuna wane. Nayega gΕ«gΕ«bona hangΔ«. Wabeja [emoji1545]
We hata baiskeli hutaki kuninunulia, we baki tu unashangaa hapo.Rafiki kumbe ni wewe nakuona kila mara unapita na lile li sport, Yesus! Kweli watu mnakula kivulini...
Hilo gari sina baiskeli nawezaje babe! Tupambane kila mtu na mechi zake[emoji23]
Nitafanyaje sasa na ndio nishayavulia maji nguo[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Hilo gari sina baiskeli nawezaje babe! Tupambane kila mtu na mechi zake[emoji23]
ππΌββοΈππΌββοΈLong distance relationship tuwaachie wakorea na wafilipino tu .. sisi wabongo asiye kuwepo na lake halipo π