Huyu mwanamke atanitoa roho

[emoji38]
 
Stupid, kwani huyu dada una copyright nae au? .
Ila bora alivyokuacha mkuu,
Mwanaume unalilia kuliko mdada!? Huu ni umama
Ukikuacha tafuta pisi nyingine tulia
Sio rahisi dogo, i take it That you never been their
 
Sio rahisi dogo, i take it That you never been their
Shida ni mindset, but ni suala la muda tu, watu wanakuja na kuondoka.
Alafu wadada hawependi wanaume wanaolilia na kujibebishabebisha, ndo maana kasepa
Even if you are desperate, usionyeshe
 
Shida ni mindset, but ni suala la muda tu, watu wanakuja na kuondoka.
Alafu wadada hawependi wanaume wanaolilia na kujibebishabebisha, ndo maana kasepa
Even if you are desperate, usionyeshe
Sawa unaweza kua sahihi ila mapenzi hayako hivyo utafika siku moja
 
The Z's are approaching our way. Mtoa mada has already been bitten by a Z.
The man is down, will reach California in two days for a vaccine
Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]

Eti mtoa mada has already been beaten by a Z [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Very well said πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Mungu anakuona Mkuu
 
Haya matatizo kila siku tunawaonya watu usiingie miguu yote miwili sasa ona yanayotokea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…