Huyu mwamba namkubali sana

Nasikia kazikwa juzi huko kwao kanda ya kusini kusini!
𝐄𝐍𝐃𝐄𝐋𝐄𝐀 πŠπ”π’πˆπŠπˆπ€ π‡πˆπ•π˜πŽ π‡πˆπ•π˜πŽ. πŒπ–π€πŒππ€ π‡π”π˜πŽ π‡π€ππŽ 𝐀𝐍𝐀𝐃𝐔𝐍𝐃𝐀.
Screenshot_20210320-105911~2.jpg
 
Ata kigogo hamkumuelewa vizuri kichwa cha heading pale alivyotoa iyo taarifa aliweka hashtag ya uncomfirmed inamaana hana uhakika nazo πŸ’―
 
Duuh..
eti mlinzi wa raisi naye yupo kwenye fecibuku,
Bongo bado sana katika hizi nyanja za intellijensia...
Unamlinda raisi halafu unauza sura mitandaoni...na mapicha ya pozi, basi mweupe kabisa
anadukuliwa vizuri kisaikolojia
Mwisho kuwa kwenye Facebook ilikuwa 2012. Mnakuwa mijitu mipuuzi iliyoshehen usaha kwenye bongo zenu.
 
Unabisha kana kwamba unajua inabisha nini, kumbe hamna kitu.
Vyanzo vya kuaminika vinasema "amevuta" halafu wewe unabisha kana kwamba wewe ni yeye.
"Acheni Maskhara" nadhani ameshangaa sio kwamba amebisha. Nadhani wewe utakua sio Mtanzania, kiswahili kinakusumbua kidogo.
 
Mwisho kuwa kwenye Facebook ilikuwa 2012. Mnakuwa mijitu mipuuzi iliyoshehen usaha kwenye bongo zenu.
Haihusiani hata kama alikuwepo fecibuku 19 kweusi, kwenye nchi zinazojielewa, huyu ni bogus kwa intellijesia,
Lakini kiinchi cha wala vumbi, hamna uzito wowote duniani wa Raisi kuuwawa,
kwa hiyo ni sawa hata Dayamondi anaweza kuwa mlinzi wa raisi
 
Unabisha kana kwamba unajua inabisha nini, kumbe hamna kitu.
Vyanzo vya kuaminika vinasema "amevuta" halafu wewe unabisha kana kwamba wewe ni yeye.
Huoni aibu Sasa wakati jamaa yupo Tena front Bencher.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom