Watu ni waongo mkuu kuna wngne wanasema vyanzo vya kuaminika ndo vimewaambia alafu Ukimkuta huyo anayekuambia anavyanzo vyakuaminika ni mchemsha Kahawa gengeni Eti anavyanzo vya kuaminika bongo bhna

Aya Leo tumemuona huyo kaka Yupo hai yeye nayule mwenye sigda kwenye Paji La uso wako Ibadan kwenye misa Maalum
Watanzania huu ni wakati wakushikamana na kuomba juu ya nchi yetu hukuna atakaye tuombea tusipo simama sis
Tuacheni maneno yakulokota njiani yenye uongo na taharuki tuipende nchi yetu tuwe wazalendo kwa nchi yetu
NAKUPENDA TANZANIA