sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,281
- 7,953
Kumbe na huyu mwamba Hua anatabasam





Hua namuona ni kauzuu balaaKumbe na huyu mwamba Hua anatabasam





Hua namuona ni kauzuu balaaMkuu kwenye lile tukio hakuwa yeye. Jamaa aliyehusika alikuwa tofauti na ni mrefu zaidi kuliko huyu.Hizi picha zinanikumbusha jamaa aliyemtishia nape na bastola. Wabongo walifukunyua hadi wakapata picha zake, anaitwa Herry Kisanduku.
Ona sasa watu washamjua kwa jina mlinzi wa marehemu Magufuli.
Duuh..Ingia Facebook nukuu zake zimesheheni madini sana. Huyu mwamba ni intelligent.
Covid ipoAlikuwa Mlinzi wa jiwe inadaiwa amefariki kutokana na Covid.
Hivi ni kweli amekata moto?
Tuilaumu corona
Wewe Ndo huelewi... Jamaa alikuwa Facebook Kabla hata Magufuli hajachaguliwa... Mara ya Mwisho alionekana 2012... Usome ueleweDuuh..
eti mlinzi wa raisi naye yupo kwenye fecibuku,
Bongo bado sana katika hizi nyanja za intellijensia...
Unamlinda raisi halafu unauza sura mitandaoni...na mapicha ya pozi, basi mweupe kabisa
anadukuliwa vizuri kisaikolojia
Ameacha kutumia facebook tangu 2012, pengine huo mwaka ndo aliingia mzigoni.Duuh..
eti mlinzi wa raisi naye yupo kwenye fecibuku,
Bongo bado sana katika hizi nyanja za intellijensia...
Unamlinda raisi halafu unauza sura mitandaoni...na mapicha ya pozi, basi mweupe kabisa
anadukuliwa vizuri kisaikolojia
Juzi kati alidai bashiru ally yuko mahututi jana kaonekana mzima wa afyaNdo huyu huyu alikua anatupa update za Mzee wenu mkawa mnabeza!
Hata Majaliwa alisema Kayafa anachapa kazi tunataka atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?Juzi kati alidai bashiru ally yuko mahututi jana kaonekana mzima wa afya
Ziara ya mwisho ya mkoa wa Dar alikuwa nae huyu...tizama video wakiwa kule Kilwa roadSidhani kutakuwa na spinning tu ,mlinzi wa mwisho wa meko alikuwa yule Mpemba ndio wa mwisho mwisho kuwa nae ,mwamba alikuwa off kwa muda.
Jamaa yupo nimemuonna leo kwenye runinga kabisaaHivi ni kweli amekata moto?
Kumjua kwa jina ni rahisi, ana marafiki ndugu na kabla hajawa mlinzi wa raisi alikua anaishi kwenye jamiiHizi picha zinanikumbusha jamaa aliyemtishia nape na bastola. Wabongo walifukunyua hadi wakapata picha zake, anaitwa Herry Kisanduku.
Ona sasa watu washamjua kwa jina mlinzi wa marehemu Magufuli.
hata kama, jamaa ilitakiwa akaunti yake ifutwe mara moja.Wewe Ndo huelewi... Jamaa alikuwa Facebook Kabla hata Magufuli hajachaguliwa... Mara ya Mwisho alionekana 2012... Usome uelewe
Jamaa yupo, leo kwenye ibada ya kumuaga JPM, kanisani kupitia runinga nimemuonakafariki lini?