Huyu mwamba namkubali sana

Huyu mwamba namkubali sana


IMG_4832.jpg

Mjuba anapeta jaman em acheni propaganda
 
Shetani kawaumbua kwanini mtu usingizie kifo kwa mwenzio, MUNGU akupe maisha marefu
 
Haihusiani hata kama alikuwepo fecibuku 19 kweusi, kwenye nchi zinazojielewa, huyu ni bogus kwa intellijesia,
Lakini kiinchi cha wala vumbi, hamna uzito wowote duniani wa Raisi kuuwawa,
kwa hiyo ni sawa hata Dayamondi anaweza kuwa mlinzi wa raisi
Una uchungu nae Sana..
Jamaa kakufanya Nini kwani mkuu,😅
 
Una uchungu nae Sana..
Jamaa kakufanya Nini kwani mkuu,😅
Sio hivyo mkuu
Mpaka leo simjui yeyeto waliokuwa wanamlinda Nyerere, na kulikuwa na uwezekano wa Nyerere kuuwawa kama kina Lumumba kutokana na siasa za wakati ule.
Hapo ndio utajua secret service wanaojua kazi zao, sio hawa wauza sura.
 
Kabisa kama afya haipo sawa ,kisukari ,pressure ,group A ,obesity ,malukanga ni bora kutulia au kuchuka tahadhari kwa kiwango kikubwa! Jiwe alijiachia sana kipindi cha mwisho ,covid19 hailembi ,nikikumbuka Vedasto Msungu alivyokata moto ghafla ni hatari.
Malukanga ni nini?
 
Back
Top Bottom