Habari dada mtende najaribu kuku pm nina shida na ushauri nilisoma post zako kuhusu NGO asanteYou are right
Habari dada mtende najaribu kuku pm nina shida na ushauri nilisoma post zako kuhusu NGO asanteYou are right
Umeona eenhh???!!!.Hata mimi mwenyewe nashangaa.Duuh..
eti mlinzi wa raisi naye yupo kwenye fecibuku,
Bongo bado sana katika hizi nyanja za intellijensia...
Unamlinda raisi halafu unauza sura mitandaoni...na mapicha ya pozi, basi mweupe kabisa
anadukuliwa vizuri kisaikolojia
Surehata kama, jamaa ilitakiwa akaunti yake ifutwe mara moja.
Kuendelea kuwepo kwa akaunti kunafanya iwe rahisi kwa mtu kukusoma tabia na mienendo yako, ni rahisi kwake kujua udhaifu wako.
mfano mie kwa haraka tu nimejua jamaa ni shabiki wa chesii na pia anae mtoto wa kike anampenda, ana marafiki kadhaa ambao hupenda kuchat nao etc.
Huku kwetu Bado sana mkuu....Umeona eenhh???!!!.Hata mimi mwenyewe nashangaa.
Ukiingia kwenye FB akaunti ya jamaa last seen, kupost na kutumia ile akaunti yake ilikua ni 2012 na kipindi icho jamaa alikua bado hajajiunga na jeshi lolote la ulinzi na usalama kwahiyo kipindi icho alkua raia wa kawaida na alitumia FB lakini baada ya kupata kazi katika jeshi akaunti hiyo haijawai kutumika kabisa.Huku kwetu Bado sana mkuu....
Hebu Angalia hii habari ya FSB wa Russia walivyojifanya kusherekea na mapicha kilicho wapata...
![]()
Russia's FSB punishes graduates for flashy celebration
Russia's FSB security service says it will punish a group of new agents who allowed themselves to be photographed lavishly celebrating their graduation.www.bbc.com
![]()
New Spies Went for a Joyride in Moscow. Russia Isn’t Happy. (Published 2016)
A video of about 50 recent graduates of the Federal Security Service riding in a fleet of luxury S.U.V.s has provoked national contempt, and may get the graduates fired.www.nytimes.com
Na hicho kigezo cha kuacha bado footprint zake kwenye mtandao kilitakiwa kitumike kumyima kazi...kwa nchi zinazojielewa kwenye nyanja ya ushushuu..Ukiingia kwenye FB akaunti ya jamaa last seen, kupost na kutumia ile akaunti yake ilikua ni 2012 na kipindi icho jamaa alikua bado hajajiunga na jeshi lolote la ulinzi na usalama kwahiyo kipindi icho alkua raia wa kawaida na alitumia FB lakini baada ya kupata kazi katika jeshi akaunti hiyo haijawai kutumika kabisa.
Ohoo!! Okay Mkuu nilikua sielewi hiloNa hicho kigezo cha kuacha bado footprint zake kwenye mtandao kilitakiwa kitumike kumyima kazi...kwa nchi zinazojielewa kwenye nyanja ya ushushuu..
alitakiwa aifunge hiyo akaunti yake muda kabla kupewa kazi ya ulinzi wa Raisi lakini bongo ni nyoso tu, konneksheni za kipuuzi kama hizi ndio zinawapa kazi mafwamba kama hawa....
Weweeeeh!Nasikia kazikwa juzi huko kwao kanda ya kusini kusini!
Mkuu ulifanikiwa kumpata MtendeHabari dada mtende najaribu kuku pm nina shida na ushauri nilisoma post zako kuhusu NGO asante