Huyu mwamba namkubali sana

Huyu mwamba namkubali sana

Duuh..
eti mlinzi wa raisi naye yupo kwenye fecibuku,
Bongo bado sana katika hizi nyanja za intellijensia...
Unamlinda raisi halafu unauza sura mitandaoni...na mapicha ya pozi, basi mweupe kabisa
anadukuliwa vizuri kisaikolojia
Angalia picha zake ni za lini na lini kaanza ulinzi usikurupuke tu

Sent from my SM-M315F using JamiiForums mobile app
 
Jamaa yupo, leo kwenye ibada ya kumuaga JPM, kanisani kupitia runinga nimemuona
Watu ni waongo mkuu kuna wngne wanasema vyanzo vya kuaminika ndo vimewaambia alafu Ukimkuta huyo anayekuambia anavyanzo vyakuaminika ni mchemsha Kahawa gengeni Eti anavyanzo vya kuaminika bongo bhna 😂😂
Aya Leo tumemuona huyo kaka Yupo hai yeye nayule mwenye sigda kwenye Paji La uso wako Ibadan kwenye misa Maalum
Watanzania huu ni wakati wakushikamana na kuomba juu ya nchi yetu hukuna atakaye tuombea tusipo simama sis
Tuacheni maneno yakulokota njiani yenye uongo na taharuki tuipende nchi yetu tuwe wazalendo kwa nchi yetu
NAKUPENDA TANZANIA
 
Watu ni waongo mkuu kuna wngne wanasema vyanzo vya kuaminika ndo vimewaambia alafu Ukimkuta huyo anayekuambia anavyanzo vyakuaminika ni mchemsha Kahawa gengeni Eti anavyanzo vya kuaminika bongo bhna
Aya Leo tumemuona huyo kaka Yupo hai yeye nayule mwenye sigda kwenye Paji La uso wako Ibadan kwenye misa Maalum
Watanzania huu ni wakati wakushikamana na kuomba juu ya nchi yetu hukuna atakaye tuombea tusipo simama sis tuacheni
Tuacheni maneno yakulokota njiani yenye uongo na taharuki tuipende nchi yetu tuwe wazalendo kwa nchi yetu
NAKUPENDA TANZANIA
Daah aisee ni kweli, basi kibaya zaidi kigogo ndie muharibarishaji watu wanatoa habari kule bila kuwa na chanzo cha uhakika wanaleta huku kuanzia.

Hii ya huyu jamaa nimechoka sana, kigogo sio wa kumuamini asilimia zote, ni bora kutulia kimya kuzushiwa kifo noma kamanda.
 
ME INABIDI TU NIAMINI KAFA MAANA NTABISHAJE BILA KUJUA..! MBELE YKE NYUMA YTU. 🥺
 
Huyo hapo
20210320_094129.jpg
 
Back
Top Bottom