Huyu mwamba namkubali sana

Huyu mwamba namkubali sana

Unabisha kana kwamba unajua inabisha nini, kumbe hamna kitu.
Vyanzo vya kuaminika vinasema "amevuta" halafu wewe unabisha kana kwamba wewe ni yeye.
mkuu weka uthibitisho wa kifo chake vinginevyo siyo vyema kuzushia vifo watu
 
Wewe ophonso inaweza kua ndio huyo jamaa, Upo unajimwambafai tuu

Lakini Tundu hatokaa awe raisi Tz
Ni Ujumbe tuu nafikisha kama nimekos nisameeni
Umeshakuwa kama Zezeta Fulani lisilo na mwelekeo. Kama ulikaa kwenye nafasi uliyopo kwa kubebwa na Magufuli tuliwaambia tangu awali yeye si Mungu. Sabaya na wenzako jiandaeni kupotea kisiasa, enzi yenu imefika mwisho baada ya kifo cha Mnyama mwenzenu.
 
Chanzo kipi hicho ?Tunahitaji nasi kujiridhisha maana kumtangazia mwenzio kifo sio poa!Hatubishi Tunahitaji kujiridhisha
Kabisaa, huwezi tangaza kitu usichokuwa na uhakika nacho
 
Umeshakuwa kama Zezeta Fulani lisilo na mwelekeo. Kama ulikaa kwenye nafasi uliyopo kwa kubebwa na Magufuli tuliwaambia tangu awali yeye si Mungu. Sabaya na wenzako jiandaeni kupotea kisiasa, enzi yenu imefika mwisho baada ya kifo cha Mnyama mwenzenu
Ndio mimi nilibebwa na Mh Magu wewe Nani atakubeba ?? Na tutabaki hamtutoi ng'o mpk 2025 teh teh teh teh
Alafu unaitwa bila bila ( 0 - 0) duuh
Lakini Tundu hatokaa awe raisi hata siku moja, kheee au niapie shehe ili uniamini ?
 
Kama kweli kavuta imeniuma sana. Ila sasa kuna mtu yupo kar
Mkuu habari hii km kweli, nimeumia Sana kwa kweliii, roho inaniuma Sana, jamaa kazi imemsababishia kifo, boss kamsababishia haya, lkn sijui km kweli
FB_IMG_1616180837980.jpg
 
Vyombo vya habari haviko huru ndiyo sababu kigogo anazidi kuwa maarufu hasa pale anachokisema kinakuja kuthibitishwa kama ni kweli.
Tatizo mkuu hamna uhakika au uthibitisho wa hizi taarifa!!

Picha hizo zote zipo Facebook na hiyo account ameacha kuitumia toka 2012, na inaonyesha huo mwaka ndo alipata kazi katika vyombo vya ulinzi na usalama
 
Back
Top Bottom