Halii anacheka... si analia huyo? Afya yake njema umeijuaje madam?
Hapo ameshashiba vyakula vya asili ambavyo ni afya tele.Halii anacheka
... duh! Sijui kabila gani huyo mtoto; ila ukiangalia body language kwa mfano the way alivyoweka mikono sio mkao wa kucheka! Anyway, wataalamu wa picha watatusaidia.Halii anacheka
mtaalam wa suraAisee kazuri halafu kanaonekana katakuja kushika hela balaa japo haitakuwa hela ya kuajiriwa kana sura ya kujiajiri,naongea kama mtaalam wa sura
Mtoto mwenye matatizo ya akili hata uso wake unaonekana.Hivi afya njema unaipima kwa mwonekano wa mwili? Health is about physical and mental well being not merely absence of diseases. Unaipimaje mental health ya huyu mtoto kutumia picha?
Labda aliambiwa afanye hivo na mpiga picha je?Watoto hawawezi kudanganya wala kuficha hisia zao.
Kama hawa hapa! Hawana baya wanawaza mioyoni mwao! Hivi vya mjini kichwani kumejaa nanihii tupuInawezekana amepiga kiporo cha wali maharage hapo hajui cartoon, PS Games, umeme wala sausage au burger.