Huyu msichana vipi?

Huyu msichana vipi?

Kesha kusoma muda mrefu akakuona bongo lala akaamua kukuchezea shere! Na yupo sahihi sana na mawazo yake hivyo alishachonga na washikaji ili akutese kisaikolojia. Inteliensia inanipa mambo yafuatayo:

1. Ana relax sana unavyoteseka juu yake na huenda kila akisongwa na masomo anafikiri njia ya ku refresh mind na kupata raha ni kukuona ww unavyohangaika dhidi yake.

2. No.1 hapo juu ndiyo iliyopelekea kuwasimulia rafiki zake na wao wakataka kupata raha hiyo; hivyo wakakufanya zuzu kwa hayo waliyokutendea.

3. Kama unamtaka bado ni rahisi kumpata kwa kujifanya ----- km anavyoamini yeye na rafiki zake ila chukua tahadhari kubwa sana. Wale rafiki zake na hasa km ni wakiume watakudhuru au kukuzulia bonge la kashfa.

4. Usilipe kisasi chochote cha kuiba, kudhuru au kudharirisha maana ww utakakuwa na hatia. Tumia huo ujinga wake kwa kufuata mtiririko fulani wa hesabu za saikolojia ya mapenzi. Utampata ki ulaini sana. Fanya yafuatayo:

a. Bila kuonyesha chuki, dharau, ama ugomvi, uchune kabisa km kwamba hakuna kilichotokea na usionyeshe dalili zozote za kuonewa au kujutia. Akikusalimia au kukuuliza chochote mjibu swaafi bila shida na usimkumbushie kwa muda hadi miezi miwili. Binadamu aliyekutenda huumia mara nyingi zaidi anapokuona hujali na huchukui hatua yoyote, iwe kujuta, kukasilika, kuomba msamaha, n.k.

b. Ni PM kwa maelezo zaidi. Ukifanikiwa rudi hapa uwaeleze members!

Kweli duniani 2nafanana mbinu.upo sawa kabisa
 
Yani we ACAPULCO boya kweli...
dem anakuita unaremba remba nini sasa 30 minutes enough kabisa kwa kula Mate, kupima oil na kupiga viwili vya fasta
atakuwa kakudharau sana.....hata mi umenikera kwakweli

tehe tehe..
hivi hapa wapi!
 
Last edited by a moderator:
jamaa kaka dushe liko juu juu anasubiria demu atoke discussion akaue...hahaahaaaaa
 
aisee imeniuma sana jamani nimejuta japo ni mzuri na figure nzuri lakini ananata sana

Mkono mtupu haulambwi ungepita supermarket ukanunua vi2 yani ungepewa papuchi,wewe umeenda kisela lazma akutose
 
sikupi pole kwa sababu wewe mwenyewe ndo umeharibu... huenda hiyo nusu saa uliitumia kwa kujishaua shaua akakuona huna jipya
 
Yani we ACAPULCO boya kweli...
dem anakuita unaremba remba nini sasa 30 minutes enough kabisa kwa kula Mate, kupima oil na kupiga viwili vya fasta
atakuwa kakudharau sana.....hata mi umenikera kwakweli

Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa dah...nyuzi zingineee burudanii
 
Sio vizuri kufundisha wenzio tabia mbaya.. Evelyn Salt
 
unaenda getoni kwa manzi bila main objetive?

wala yeye hajui umefuata nini kwake?

Huo sasa uvamizi!

Next time mwambie kabisa kwamba unaenda kumtuliza mshono dadeki..!

Mi manzi'angu ananionaga wa ajabu pale nnapomchana kwamba naenda kwake nikiwa nimemwambia namnjunja kabisaa!!
ila mwisho wa siku nakuwa civilised kwa sababu kama hayuko tayari ananiambia natuliza mshono dadeki!
siwezi mung;unya meno kwa level hii niliyopo! i am not a kid anaymore!

Mkuu na degree yako unashindwa kuwa specific? khaaa!

Kwanini sasa uone aibu? gharama nyingine twazitaka wenyewe tu bila kuombwa dadeki!
 
Back
Top Bottom