Huyu msichana vipi?

Huyu msichana vipi?

duuu!!!! pole mkuu... songa mbele wengine watakuwepo mbele ya safari....
 
Si unamfundisha boya.. Eti angemnjunja viwili vya fastaaaa... Umesahau wahenga walisema sio lazima to Do twaweza enda home na kuchill tu... Mweeeh Evelyn Salt
Huyo hakwenda kuchill kafata uchi na kaukosa kwa ezembe wake....
 
Nikamwambia nitakusubiri akasema sitaki unisubiri wewe mm mke wa mtu so akija jamaa mtaleteana ugomvi yaani mpaka naandika hii nyuzi nimeumia vibaya natamani hata ningemuibia baadhi ya vitu vyake shenzi sana huyu

Nimechekaje kwa sauti lol!
Pole kwa yaliyokukuta
 
Heheheeeeeeeee mbavu zangu uwiiii uckute mwenyewe uliinoa tayar kwa kuukata loh
 
Hahahhahaha eti shenzi sana,..ungeanza kumshika kiuno within 10 mins ungeona km hao rafiki zake wangekuja,
polehhh
 
Hahahhahaha eti shenzi sana,..ungeanza kumshika kiuno within 10 mins ungeona km hao rafiki zake wangekuja,
polehhh

walahi ntakusaka wikiendi hii badiebey!
you seem to have a smooooth waist!

i am coming switie!.. prepare nothing, i am coming with everything!
 
Back
Top Bottom