Huyu msichana vipi?

Huyu msichana vipi?

mamie full mlango kuachwa wazi,hataki ufungwe na rafiki zake mara waingie mara watoke

Kesha kusoma muda mrefu akakuona bongo lala akaamua kukuchezea shere! Na yupo sahihi sana na mawazo yake hivyo alishachonga na washikaji ili akutese kisaikolojia. Inteliensia inanipa mambo yafuatayo:

1. Ana relax sana unavyoteseka juu yake na huenda kila akisongwa na masomo anafikiri njia ya ku refresh mind na kupata raha ni kukuona ww unavyohangaika dhidi yake.

2. No.1 hapo juu ndiyo iliyopelekea kuwasimulia rafiki zake na wao wakataka kupata raha hiyo; hivyo wakakufanya zuzu kwa hayo waliyokutendea.

3. Kama unamtaka bado ni rahisi kumpata kwa kujifanya ----- km anavyoamini yeye na rafiki zake ila chukua tahadhari kubwa sana. Wale rafiki zake na hasa km ni wakiume watakudhuru au kukuzulia bonge la kashfa.

4. Usilipe kisasi chochote cha kuiba, kudhuru au kudharirisha maana ww utakakuwa na hatia. Tumia huo ujinga wake kwa kufuata mtiririko fulani wa hesabu za saikolojia ya mapenzi. Utampata ki ulaini sana. Fanya yafuatayo:

a. Bila kuonyesha chuki, dharau, ama ugomvi, uchune kabisa km kwamba hakuna kilichotokea na usionyeshe dalili zozote za kuonewa au kujutia. Akikusalimia au kukuuliza chochote mjibu swaafi bila shida na usimkumbushie kwa muda hadi miezi miwili. Binadamu aliyekutenda huumia mara nyingi zaidi anapokuona hujali na huchukui hatua yoyote, iwe kujuta, kukasilika, kuomba msamaha, n.k.

b. Ni PM kwa maelezo zaidi. Ukifanikiwa rudi hapa uwaeleze members!
 
hapo mlango kaacha wazi ukutaka kurudisha kidogo anasema acha mlango wazi hewa iingie halafu mara anatoka anchukua hiki mara kile

sasa ndugu ulitaka akuanze yeye? au avue nguo ndio ujue alimaanisha watu wanasex barazan sembuse hapo chumban? kwan mlango kuwa wazi ndio ushindwe kupiga shoo
 
mami evelyn humo ndani wakati naingia nilikuwa peke yangu lakini kama dakika mbili hivi jamaa wanaosoma naye wakaanza kuingia jamani

mamie full mlango kuachwa wazi,hataki ufungwe na rafiki zake mara waingie mara watoke
Hukuusoma tu mchezo kuna watu wanaonaga aibu kuonekana wanataka
utakuta hizo zilikuwa vunga tu, kwani we hujawahi ona dem anapanda kitandani ila pichu hataki kuitoa hadi purukushani?
iltakiwa kuna namna ufanye angefunga tu mlango mbona....
 
Ungemtuliza tu kwa kumpiga makono mbao,hizo pirika pirika zake mbona zingetulia na mwenyewe ange kwambia ngoja nikafunge mlango.

Enzi zangu hiyo mkuu naenda nikiwa tayari nimesha simama,nikifika ni kuchomeka tu maana na yeye ulipo mwambia kuwa upo njiani alikuwa amesha lowa.Uswahilini tunaita tembo kwa ubua hiyo,kama kusukuma mlevi vile.
 
Jamaa mzito kama uji wa mtama
kapata zali la kuitwa chumbani story muda wote huo?aseeee hadi nimekwazika utadhani inanihusu
tena utakuta story zenyewe kapiga za kijinga kijinga za primary school aaagggrrr

Ashakum c matusi, huyu jamaa n ------ sana story za nn, angepima oil tu ninaimani discusion angeihairisha
 
serious bro sasa marafiki zange wanakuja na kutoka halafu hatakoi mlango ufungwe kabisa hako kasehemu ni kama hosteli ya nje ambayo kuna wapangaji wengi

Mkuu show haiangalii wapi.... nakumbuka kuna kesi ilifikaga kwa matroni mwana alipiga mzigo kwenye room ya watoto wa kike wapo kibao wanapiga stori room yeye na manzi ake wakafunika shuka kwenye deka la chini wenzake wakastukia miguno tu, na show ilipoisha mwana akawaga wale wenzake akasepa..... see
Golden chance never come twice
 
Hukuusoma tu mchezo kuna watu wanaonaga aibu kuonekana wanataka
utakuta hizo zilikuwa vunga tu, kwani we hujawahi ona dem anapanda kitandani ila pichu hataki kuitoa hadi purukushani?
iltakiwa kuna namna ufanye angefunga tu mlango mbona....

mmhh sidhani.. na nahis aliamua kumfanyia ndivosivo tu.. ukute hata hiyo disk ilikua zuga tu.. alisuka ishu na hao mashogaze ili huyo kaka akomeee.. hah hah inatia hasira sana hii..!
 
unataka akamuibie binti wa watu vitu alivonavyo au ujaona wazo lake mbadala?!!

huh huh huuu...naunga mkono hoja % percent ili atleast nayeye apate compesation ya mda na kuharibikiwa kisaokolojia.. coz akili ilikua ishajitune kivingine sasa ikawa kinyume cha hapo.....
 
serious bro sasa marafiki zange wanakuja na kutoka halafu hatakoi mlango ufungwe kabisa hako kasehemu ni kama hosteli ya nje ambayo kuna wapangaji wengi

Bahati yako ungenyolewa vipara,..watu wanahasira!
 
hivi kwel mtu unafika stori 30 nzima?!,we kwel boya..
na ningekuwa mimi ningekuachia vyombo uoshe,nguo ufue,chakula upike,udeki,ukimaliza utulie unisubiri hlf baadae nakwambia utoke hapo uache ufunguo kwa jirani mme wangu akikukuta atakufunyua..
 
hivi kwel mtu unafika stori 30 nzima?!,we kwel boya..
na ningekuwa mimi ningekuachia vyombo uoshe,nguo ufue,chakula upike,udeki,ukimaliza utulie unisubiri hlf baadae nakwambia utoke hapo uache ufunguo kwa jirani mme wangu akikukuta atakufunyua..

Ingelikuwa wewe ningelikuwa nimeanza yale mambo yetu Mom Fay long tym no see
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom