Huyu msichana vipi?

Huyu msichana vipi?

Ninakata tamaa sana na hawa dada zangu,kama mambo yenyewe ndio haya sijui itakuwaje kwa upande wangu mie ambae sijui hata ntakula nn na shule yenyewe nimeishia la 7,kama mwanachuo kafanyiwa hivi duuu! kama haya yanafanyika kwa mti mkavu je mti mbichi itakuwaje?
pole sana ndugu, ndio wanawake hao tuliopewa na kutahadharishwa na MUNGU kuwa tuishi nao kwa akili.hao ndio mama zetu,dada zetu,shangazi zetu na bibi zetu.hivyo ukiwatukana utakuwa umemtukana moja ya hao hapo juu. kama nia yako ni njema na yeye kakufanyia lisilo jema usijali malipo ni hapa hapa tu,kipimo kile kile tunachopima ndicho hicho hicho tutakachopimiwa.usife moyo wala usikate tamaa MUNGU ni mwema,kila la heri.
 
Kwa alichotaka kufanya Mungu hayupo,labda Shetani ndo atamsaidia kufanikiwa.
Ninakata tamaa sana na hawa dada zangu,kama mambo yenyewe ndio haya sijui itakuwaje kwa upande wangu mie ambae sijui hata ntakula nn na shule yenyewe nimeishia la 7,kama mwanachuo kafanyiwa hivi duuu! kama haya yanafanyika kwa mti mkavu je mti mbichi itakuwaje?
pole sana ndugu, ndio wanawake hao tuliopewa na kutahadharishwa na MUNGU kuwa tuishi nao kwa akili.hao ndio mama zetu,dada zetu,shangazi zetu na bibi zetu.hivyo ukiwatukana utakuwa umemtukana moja ya hao hapo juu. kama nia yako ni njema na yeye kakufanyia lisilo jema usijali malipo ni hapa hapa tu,kipimo kile kile tunachopima ndicho hicho hicho tutakachopimiwa.usife moyo wala usikate tamaa MUNGU ni mwema,kila la heri.
 
Hapo boro lilidindaje mishauku kibao oooh akifika ntampa za hv,umeondoka kama umetiwa kidole cha mk@nd@
 
nimesikia kwamba unawaumiza vichwa vijana wawili humu ndani! hebu nipe short notes mrembo!

Mbona kawaida yangu kuwaumiza nyie viumbe?? Umesahau nlivyokua nawa mix weye na kiwatengu mpaka miss neddy na shansarie wakaomba poo...mie na nyota ya chips...hahaaa
 
hahahaaa!! lakini nilianza kukubikiri mimi halafu akafuata kiwatengu, then rich pol halafu kijana kibo10 kaja majuzi..
so i am the boss!

vp lakn, mzima wewe mwenye nyota ya kupendwa na excel?
 
unaenda getoni kwa manzi bila main objetive?

wala yeye hajui umefuata nini kwake?

Huo sasa uvamizi!

Next time mwambie kabisa kwamba unaenda kumtuliza mshono dadeki..!

Mi manzi'angu ananionaga wa ajabu pale nnapomchana kwamba naenda kwake nikiwa nimemwambia namnjunja kabisaa!!
ila mwisho wa siku nakuwa civilised kwa sababu kama hayuko tayari ananiambia natuliza mshono dadeki!
siwezi mung;unya meno kwa level hii niliyopo! i am not a kid anaymore!

Mkuu na degree yako unashindwa kuwa specific? khaaa!

Kwanini sasa uone aibu? gharama nyingine twazitaka wenyewe tu bila kuombwa dadeki!

well said, mkuu!!
 
Yani we ACAPULCO boya kweli...
dem anakuita unaremba remba nini sasa 30 minutes enough kabisa kwa kula Mate, kupima oil na kupiga viwili vya fasta
atakuwa kakudharau sana.....hata mi umenikera kwakweli

hahaaahaaa!! Afu Evelyn Salt ni kati ya mliofanya nijiunge na hii familia ya jf...umetisha mkuu.
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa!! lakini nilianza kukubikiri mimi halafu akafuata kiwatengu, then rich pol halafu kijana kibo10 kaja majuzi..
so i am the boss!

vp lakn, mzima wewe mwenye nyota ya kupendwa na excel?

Mie mzima...jion tukutane hongera bar tukakumbushie maana kila nkikumbuka ule mshindo siku ile mie hoi excel...chumvi ya warembo
 
hahahaaa! mshindo! em nyingine tuziachie tu chumbani mamii, utaua watu humu ujue!

ngoja nifunge funge kipensi nijiwahie mtaa wa aggrey nijepo tuone cha kufanya!

wikiendi yenyewe si ndo hii? mtoto mzuri si ndo wewe!!?

nitake nini tena mie? lol. naja mzima mzima!

niue uwezavyo! lol.
 
C'mon boii...wl goin to kill yah softly!! Fanya faster ila angalia richpol na kibo10 wasije kukugecha mapanga!"
 
ni-quote bhass mamii!

naja fasta kabla hawa hawajastuka!

unajua nini? leo tunaanzia kwenye gari! au unaonaje? then haooooo, uwanja wa taifa mahaba niunguze kama soko la karume! nipe like kipenzi!
 
yaanii haya yatakua mahaba nifaulushe kama matokeo ya fom 6...haijawahi tokea!!ngoja nijiandae haraka!!!
 
nakupa wani ya tatu kwanza kwa hot afternoon love and kiss zone, unajua nini? nimeimiss sana ile siku ulitonionesha....! hahahaaa, halafu ukakimbia! ngoja niandae Black muscle, leo ndo leo! nafunga kwa ajili yako ujue!
 
Huhuuu spchles mieee""haya mahaba hatari
 
Back
Top Bottom