Huyu Mpare kapotelea Wapi?

Huyu Mpare kapotelea Wapi?

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,493
Reaction score
18,387
Nina muda sasa sijagumiana naye humu ndani
its like i missed her > Mrembo by Nature...where a u?
tokea nikugumie pale Kisambo market ukifanya shopng mpaka leo sijakuona tena!

Umehama mtaa?
Heaven on earth unataarifa za hyu mtu?
Nani anajua aliko?
 
Last edited by a moderator:
Kenda kwao kusalimia atarudi

hivi mbona kule kwao network ipo tele? au ameenda kwa upande wa pili.
glad to see u here Chocs! hatujasema tokea vuguvugu la mapinduzi lipite!
 
Last edited by a moderator:
hivi mbona kule kwao network ipo tele? au ameenda kwa upande wa pili.
glad to see u here Chocs! hatujasema tokea vuguvugu la mapinduzi lipite!
Naona siku hizi peke ako peke ako...wapi muke wajameni
 
Nakukumbuka sana Chocs nimejaa tele siunajua nipo mtwara sasa
ngoja nile raha kwanza huku nitawasalimu baadae.
na siku hizi nina raha kweli na kiwatengu wangu kwani mbaya wangu Smile ameokoka ndo maana haonekani sana
hataki tena waume za watu
 
harakati za gesi zikianza utajificha wapi vile? shansarie....
kesho naanza kukupa mafunzo maalumu yakishouling
 
Last edited by a moderator:
wear house ya korosho inahusika hapo kuna handaki kule la kujificha so gesi hainipi shida wacha watoane macho kiwatengu
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu wamuulizia nini sista angu?
 
Kaibiwa simu anajipanga kununua mpya
 
Nipo naye huku milimani Usangi (Vuthangi) tunapunga upepo.

Kuora ni kuketa cha kuora.
 
Back
Top Bottom