Mzee
Platinum Member
- Feb 2, 2011
- 13,620
- 5,868
Last edited by a moderator:
Uko na mkeo unamuulizia mrembo wa watu kwa nini bwana? Hebu uko!
kaka! nimemmis dada yako...si vibaya lakini! ukipata muda mwambie tu
ooh! aliniahidi pure ujue...sasa sijui itakuwaje!!
aliniambia nije kuzila huko huko bana..ntakuja!!
Mkuu kiwatengu ngoja Mrembo by Nature apande juu ya mti atapata network ya kuingia humu
kiwatengu huko upareni ni balaa mpaka upande juu ya mti kupata network inawezekana Mrembo by Nature hakuweza panda juu ya mtiaisee basi Huko Kilimanjaro kuna sehemu zinatofautiana sana mkuu...