Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
hahaaaa huyo aliyekupa ruhusa ya kwenda kupiga simu ASHUKURIWE lol.......
maumbea kibao yalikuwepo humu.nikawa natamanije uwepo wako umbea shurti uwe na mmbea mwenzio........
Ngusie basi umbea japo mmojawapo, si unajua tena shouger yangu mie bila umbea nawashwa, fanya mambo basi