Nakushukuru ndugu yangu, maana niliisha anza kuonekana mwongo kuwa eti anaonekana na juzi alikuwa kwenye sherehe ya serengeti,Masha yuko mjini, kwani kuna kazi znzyofanya pale mambo ya ndani zaidi ya kuharibu nyaraka zote zenye ushahidi unaomgusa yeye na IMMA kwenye kila nyanja ya sekta ya pesa hapa TZ.......
WEWE uliona wapi miezi sita inapita waziri wa mambo ya ndani hajaonekana hadharani...kituko.
Masha yuko mjini, kwani kuna kazi znzyofanya pale mambo ya ndani zaidi ya kuharibu nyaraka zote zenye ushahidi unaomgusa yeye na IMMA kwenye kila nyanja ya sekta ya pesa hapa TZ.......
WEWE uliona wapi miezi sita inapita waziri wa mambo ya ndani hajaonekana hadharani...kituko.
Yupo na kapuya? nae siku hizi ovyo mambo yao yanafanana hao.Eh! kumbe yupo, kwanini hasikiki kwenye vyombo vya habari kama zamani?
Hivi ile scandal yake na mengi iliishia wapi?
Swali linajieleza pamoja na picha, naombeni mnisaidie kujua aliko huyu bwana, maana ni siku nyingi sijamsikia wala kumuona kwenye vyombo vya habari,
Hivi yuko hapa nchini??
Hawa viongozi wetu kweli wanapenda starehe! Hebu ona walivyokenua! 'Enzi za Mwalimu' kulikuwa hakuna mambo kama haya. Viongozi walikuwa serious wakifanya kazi usiku na mchana si kwenda kwenye starehe! Sokoine angeliwasikia asingewaacha! Uongozi ulikuwa ni sacrifice haswaaaa leo uongozi ni kutanua.
Anaijipanga na uchaguzi ujao lazima awe mpole kwanza