Huyu mke wa mpangaji mwenzangu simuelewi

Huyu mke wa mpangaji mwenzangu simuelewi

Mke wa mtu sumu
 
Attachments

  • 1447135604071.jpg
    1447135604071.jpg
    56.2 KB · Views: 438
Nyoko wewe na mm ndiye mume wa huyo mwanamke. Nakuonya achana na mke wangu aise.
 
Dah....mke Wa MTU noma....usipige
Ila wadada wakishaolewa wanakua dhaifu Sana mbele ya wakaka singles na wenye ajira
 
Interval ya masaa mawili ni kubwa,unapanda kileleni hata mara 3

kwa wale wenye spidi nzuri hata 4 unapiga lakini kwa wale wenzangu na mimi ambao ukipiga tu cha kwanza kabla ya kwenda cha pili inabidi uutikise kwanza, utafumaniwa kabla hata hujaanza kutikisa.
 
kwa wale wenye spidi nzuri hata 4 unapiga lakini kwa wale wenzangu na mimi ambao ukipiga tu cha kwanza kabla ya kwenda cha pili inabidi uutikise kwanza, utafumaniwa kabla hata hujaanza kutikisa.
Chukua like mkuu hiki kidude hata sikioni,very true.
 
achana nae mkuu sio lazima kufanya nae ngono tafuta mwingine akija kujua mme wake utajenga chuki itazaa umauti kwako kumbuka unazini na mke wa mtu
 
Hapa ninapoishi kuna mke wa mpangaji mwenzangu nashindwa kabisa kumwelewa.

Mume wake ni mtu wa kurudi usiku sana kama saa nane na Mimi hua narudi kama saa sita sasa cha ajabu kila nikirudi ananifungulia huyo mwanamke kwa Tabasamu safi huku akiwa na kanga moja.

Mwanzo sikuona hii coincidence ya why yeye tu ndo awe ananifungulia mlango ila juzi nilivyotuliza akili ndo nimegundua kuna kitu anataka huyu.

Kwa mikato yake angekua hatukai nae nyumba moja ningemshughulikia lakini namuonea soo jamaa.

Nimelileta jukwaani sio kuomba ushauri bali kuwashirikisha tu mjue masaibu ninayokumbana nayo.
wanaume mna matatizo sanaa, mtu ana dedicate usingizi wake kukufungulia mlango wewe unaanza fikiria anajilengesha, stupid thoughts.
 
wanaume mna matatizo sanaa, mtu ana dedicate usingizi wake kukufungulia mlango wewe unaanza fikiria anajilengesha, stupid thoughts.

Soma kabla ya kukoment wewe bibie by the way yule mumeo kaachiwa au
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom