Kabla ya yote, elewa kuwa mwanamume hata awe mfupi ka nyundo tena mwembamba ka reli, lakini mbele ya mke wake, huwezi mpiga.
Pili, ukiamua kufirigisi huyo mwanamke anayeamka usiku huo kukufungulia weye ka shem wake anayekuheshimu ila weye kwa uchu wako unaangalia khanga badala ya kuangalia heshima aliyokupa kukufungulia saa6 usiku kwa heshima tu huklu akimngojea mume wake mpenzi akiwa tiyari kajiandaa kumpa haki yake, ati weye unaona upate na zaidi ya huduma hiyo ya kufunguliwa mlango. Nasema hufanyi vyema hata kidogo.
Mheshimu ka mke wa mtu na mwanamke mwenye mume wake lakini anakuheshim. Hivyo; sema; Tuheshimiane au mwambie asikufungulie tena mlango