Huyu mke wa mpangaji mwenzangu simuelewi

Huyu mke wa mpangaji mwenzangu simuelewi

Huyu anatabia ya kula wake za watu arubaini yako haiko mbali ww maana km Simba ww ushakula binaadamu ushaona ladhaye ya chumvi hutaki tena swala tulia ww mle na ww ipo siku utaliwa firigisi na na video recorded juu huku una guna jaman nisameheni.

Leo akikufungulia funga geti vizuri ikiwezakana nunua kufuli mpya funga alafu mpeleke geto lako mgegede vizuri mumewe akija akikogonga geti mpe funguo akamfungulie binaadamu wabaya sana.
 
Shem akifungua tu mlango na kanga moko yake inatakiwa umuinamishe hapo hapo.....
Ha ha ha ha haaaa unamatatizo wewe. Huenda anajisahau na kumheshimu tu jirani yake kiroho safi jamani. Tuangalie na upande wa pili.
 
Nyumba mlango mmoja na TECNO inaonekana ukishamuona vile unalala ukiwa najsi au sio, unza usalama wako ili uendelee na shule
 
''mjue masaibu ninayokumbana nayo''
Ndugu yangu Shark kufunguliwa mlango kwako ni maswahibu?!
 
Evelyn Salt.Na kama anataka msoloboko usipompa atakuona nyuki wa canteen shem

una maneno we mwanamke
 
Interval ya muda unaorejea ww na mumewe ni masaa mawili....mshughulikie kama hujipendi!
 
Siku ukimwelewa yataonekana manyoya.............
 
Sikupi ushauri.. Ila nikuambie kitu, Saa sita hadi nane Ni masaa 2, ukipenda unaweza kamilisha gemu kwani Ni dk.120 hizo sio 90

Kila la kheri
 
Halafu na harufu ya kujipanga naiona. Unajuaje muda anaorudi jirani yako kila siku? Ukizingatia muda wenyewe huo wa usiku wa manane. Huwezi ukamaster trend ya kurudi kwa mwanaume mwenzio bila kuwa na juhudi za ziada. Au kakuambia mwenyewe huyo bidada nini?
 
Hahah sa si anakurahcshia tu uamuz n wako.
 
Ukitaka kula lazima ukubali kuliwa in JK voice
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom