Mwambie ukwli tu kwamba haupo komfotabo n yy anavokuja na izo nguo
Hahahaha hiyo ni saa sita mwenye we humpendi
Shem akifungua tu mlango na kanga moko yake inatakiwa umuinamishe hapo hapo.....
Mimi mbona hayanitokei jamani!! Ngoja nizidi kusali labda mungu ataniletea bahati kama hiyo.
Na kama mwenye mali yupo ndani?
Acha kumdhihaki Mungu kwa ujinga wako.
Hapa ninapoishi kuna mke wa mpangaji mwenzangu nashindwa kabisa kumwelewa.
Mume wake ni mtu wa kurudi usiku sana kama saa nane na Mimi hua narudi kama saa sita sasa cha ajabu kila nikirudi ananifungulia huyo mwanamke kwa Tabasamu safi huku akiwa na kanga moja.
Mwanzo sikuona hii coincidence ya why yeye tu ndo awe ananifungulia mlango ila juzi nilivyotuliza akili ndo nimegundua kuna kitu anataka huyu.
Kwa mikato yake angekua hatukai nae nyumba moja ningemshughulikia lakini namuonea soo jamaa.
Nimelileta jukwaani sio kuomba ushauri bali kuwashirikisha tu mjue masaibu ninayokumbana nayo.
Ndio maana nimempa wiki ili nihakikishe kama ni kweli anahitaji kitu cha msuli au, maana nikikosea na kumbe ni mcheshi tu itakula kwangu yaan ni kama kumtongoza shemeji vile
Na kama anataka msoloboko usipompa atakuona nyuki wa canteen shem
mkuu, muanze taratibu...huyo atakuwa anataka, angekuwa hataki asingevaa kanga moko. mwinamishe tu huyo mkuu. inaonekana mumewe akirudi anakuwa hoi, hivyo huishia kukoroma au kumpapasapapasa tu. muingize hadi amsahau mumewe.
mkuu, hayo sio MASAIBU ila ni FURSA. ni juu yako kuitumia fursa hiyo kikamilifu.
Nakuona umechoka kuishi duniani, tafuta mahala pengne pa kwenda kufia. Usitake jamaa akaenda jela kwa sababu ya kukuua. Na siku zako za kuishi si nyingi, watakukata mapanga tu! na utapigwa tu!. Wanafunzi wa vyuo vikuu huwaoni si nenda huko ukapozee.
Mwambie ukwli tu kwamba haupo komfotabo n yy anavokuja na izo nguo
Mi kuna mmoja nimemla jana, alikuwa ana mikato kama ya huyo wako..... kama vp niPM namba zake nikusaidie.