Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,185
Wakuu,
Mimi ni miongoni mwa watu wachache wasiopenda ujinga nchi hii!!!
Hapa kitaa nilipohamia pande za Tegeta_Wazo_Hill chumba changu kinatazamana na chumba cha jamaa mmoja na mkewe.
Nina takribani mwezi mmoja tangu nihamie hapa,
Ila huyu jamaa nimeonana naye mara mbili tu;
Huwa anaondoka saa 11 Alfajiri na kurudi ni saa 5 usiku karibia kila siku,
Ingawa hupumzika mara siku mbili kwa mwezi.
Mkewe ana kiduka chake cha vipodozi mtaa huu,
Hivyo hupatikana nyumbani mara kwa mara.
---------------
Mimi kazi yangu kwa kuwa ni ya kujiajiri,
Huwa napenda kurudi nyumbani mapema ili niwahi kupika wali wangu wa kula Usiku, na kiporo cha Kesho yake Asubuhi, Mchana na Usiku.
-----------
Sasa wiki hii nimebaki home sina mishe, narelax tu, kwani kuna project najiandaa nayo itayoniweka bize sana kuanzia mwezi ujao.
Utata umeanza ambapo huyu mke wa mpangaji mwenzangu ameanza mazoea:
Always,
Ananigongea mlango Ghetto eti anaazima CD ya kwaya na Wanakondoo wa Parokia ya Mivumoni,
Mara anaomba nimwekee antivairasi kwenye PC yake aina ya TOSHIBA.
Sasa leo nd'o kaleta balaa,
Kaanza kunipongeza kwa kujipikia na kujifulia nguo mwenyewe,
Na kuniuliza why sijaoa huku akigeuzageuza msambwanda pale koridoni na kuniambia,
"Seneta wa Mtwiz,
Hii nyumba mchana hakuwi na watu kabisa hii,
Leo ni kama bahati tu tupo sisi tu wawili."
Nikajifanya sijamjali.
Akaendelea,
"Vipi Seneta chumbani kwako kuna sehemu ya kuketi?"
Mara simu yangu ikaita ndani,
Nimeenda kupokea,
Narudi namkuta anafua jeans mbioi zangu nilizoziloweka ili zilainike nizifue.
---–-------
Wakuu,
Nimeona nikimchekea huyu atanigombanisha na mumewe,
Nimeamua kumwaga mboga,
Nimemwambia mumewe A-Z.
------
SASA HIVI NASIKIA SAUTI ZA MIKANDA, MAKONZI NA KILIO ZIMETALAKI HUKO CHUMBA CHA JIRANI.
NI MWENDO WA KUWACHOMA TU SASA HIVI!!!
SHENZI!!!