Huyu mgeni wangu mbona kama simsomi?

Huyu mgeni wangu mbona kama simsomi?

Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
Acha tamaa
 
Mle sasa
 
Wengine hawana asili ya kulala na nguo, sasa na wewe ulifuata nini, mwenzio kalala?
 
Hujui unakosa nini mtoa mada,
watu kibao tu wanalala bila nguo. Kwa afya ya mwili na mazaga imekaa poa sana.
 
Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
Hana mtu anayelala naye chumbani humo yuko peke yake ni nani anayemuonea haya kusema kamdhalilisha?

Mtu kulala uchi ni nini kinachokushangaza wewe?

Wewe ukiwa kitandani kwako huwa haulalagi uchi siyo?

Tuweke wazi ni nini kilichokushangaza kuona mtu kalala uchi, au kuna jambo unalolificha hautaki kuliweka wazi?
 
Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
Atakuwa mfuasi wa Lissu huyo, chunguza.
 
Wanasayansi wanashauri kulala usiku bila chupi au nguo ya ndani, kuongeza circulation ya damu mwilini. Pia kulala bila chupi kunasaidia kuongeza nguvu za kiume maana mzunguko wa damu ni kubwa. Kwa mwanamke kunasaidia uchi usitowe harufu mbaya. Ndo maana Wanaume kutoka Mikoani wanaweza kwenda mizunguko ( Gori) mingi kwenye tendo la ndoa tofauti na Wanaume wa Dar kama wewe mtoa hoja ambao akibahatika ni Gori moja tu mpaka week ijayo.
 
Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
Katika shughuli za utunzaji na uhifadhi wa Samadi ni mdogo sana😂
 
Wewe kwanini umeingia bila kugonga?
 
Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
Wee jamaa siyo mstaarabu na mshamba sana. Unampa chumba unasema cha wageni kumbe si kweli ni chumba cha kunyooshea nguo? Halafu unaingiaje chumbani kwa mwanaume mwenzio usiku bila tahadhari?
 
Sikuhizi hata nduguyo naye anaweza kukutia aibu kama hivi

Sasa wewe uliangalia matako yake ya nini kama sio ufirauni huo? Na kwanini hukugonga hodi?
 
Back
Top Bottom