KWENYE PESA HAKUNA ADUI
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 458
- 649
Nature ya mdau ni umbea na unafki tu.Kipi cha ajabu hapo cha kuandikia Uzi

Kwanini usibishe odi kabla ya kuingia ?...wanaolala bila ya nguo wapo sahihi kiafya na kiakili kuliko wanaolala na nguo ....wewe ukienda kuoga unaoga na nguo ? Je anaye oga na nguo yupo sahihi kuliiko asiye oga na nguo ?Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
MfukuzeKuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
𝐊𝐰𝐚 𝐚𝐟𝐲𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐮𝐦𝐞 𝐮𝐧𝐚𝐭𝐚𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐥𝐚𝐥𝐚 𝐮𝐜𝐡𝐢 𝐢𝐥𝐢 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐡𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐳𝐚 𝐤𝐢𝐦𝐚𝐮𝐦𝐛𝐢𝐥𝐞 𝐳𝐢𝐰𝐞 𝐚𝐜𝐭𝐢𝐯𝐞.𝐬𝐚𝐬𝐚 𝐰𝐰 𝐧𝐝𝐨 𝐦𝐬𝐡𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐩𝐫𝐨 𝐦𝐚𝐱.𝐬𝐢𝐤𝐮 𝐧𝐲𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐮𝐣𝐮𝐞 𝐮𝐣𝐢𝐧𝐠𝐚 𝐧𝐢 𝐤𝐢𝐭𝐮 𝐮𝐬𝐢𝐜𝐡𝐨𝐤𝐢𝐞𝐥𝐞𝐰𝐚Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
Kwa hiyo jamaa kaja kutangaza mjengo wake , siyo?Sawa tushakujua una nyumba huo ulofanya ww ni unafiki tu watu hamna koromeo kila kitu kukisema tu
Ss huku mtandaoni iyo nyumba yko haitusaidii kitu jamii imekua ya kijinga sanaa
Kwanini uje kumtangazia huku jukwaani?
Halafu ukiangalia wenye majumba haswaa hawajitangaziiKwa hiyo jamaa kaja kutangaza mjengo wake , siyo?
Hapo mwenye shida ni wewe.Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
Huyo hana tatizo wala usiogope, wale watu hawana mambo mengi sana, inawezekana alipofika hakuoga usiku matokeo yake amelala na jasho fukuto lilipompanda kali akaamua kuvua nguo zote, chunguza kama alioga usiku hiyo inaweza kuwa sababu kubwa, wanaofika mjini kutoka vijijini wanadhani humu unaweza maliza muda mrefu bila kuoga kama vijijiniSimiyu
Halafu kwa umri wake nilidhani atakuwa ana mke wa kumnyooshea nguo😂Halafu ukiangalia wenye majumba haswaa hawajitangazii
Kwanza iyo nyumba anokaa ni nyumba mbanano nyumba haswaa kuna kua na sehemu yke ya kupasia nguo na meza yake sasa yy anaenda kupasi chumbani