Huyu mgeni wangu mbona kama simsomi?

Huyu mgeni wangu mbona kama simsomi?

Hiyo Kawaida sana kijana. Mimi pia niko town lakini silali na nguo hata moja. Hiyo ni tiba. Mimi sivai hata boxer. Unajua ukivaa nguo inakudistable. Ukivaa chupi usiku kuna kawaida sana mzigo huwa unasimama usiku sasa ile mishipa ikiwa imedinda usiku unafeel kabisa mzigo unaumizwa.

Pia kitu muhimu kuubana bana mzigo kila wakati unaupunguzia kasi ya kukua na ndio maana vibamia na kupungua kwa nguvu kwa nguvu za kiume siku hizi ni vingi sana.

Hata mchana pendelea kuvaa chupi isiyokubana sana,angalau achia nafasi fulani isiyobana.

Pia watoto wenu,hasa wa kiume,akiwa nyumbani usipendelee kumbana bana na nepi au chupi. Muache bila nguo yoyote muda mwingi awapo home.

Ndio maana comments ya mwanzo mtu kasema wasukuma washamba. Ndio maana wasukuma wana mizigo ya uhakika haina mbelile mbelile,ksbb wanaheshimu sana hizi destuli.

Hapo kulala bila nguo yoyote kwa mtu mzima watakuja watu kupinga kwa misemo ya kishabiki sasa akija mtu mbaya kama mwizi utatokaje nje ghafla? Hizo ni porojo tu,kama ghafla mbona unainama mpaka uvunguni kuchukua panga kabla ya kutoka nje?. Kwa nini usitumie muda huo pia kuvaa track kabla ya kutoka nje?.
Pia Jiulize toka uanze kukua ni mara ngapi umetokewa au umeitwa nje ghafla?. Mimi toka nianze kujitegemea ni mara 2 tu nimetoka nje kukiwa na tukio usiku. SASA JIULIZE IPI BORA? UUMIZE MWILI WAKO KWA KULALA NA NGUO SIKU AU MIAKA YAKO YOTE KWA KUSUBIRI MWIZI ASIEWEZA KUTOKEA HATA SIKU MOJA AU UWE HURU KWA KULALA VIZURI SIKU ZOTE HATA MWIZI AKITOKEA SIKU MOJA NDANI YA HATA MIAKA 10, UVAE NGUO CHAP KAMA UNAVYOJIANDAA KWA KUCHUKUA SIRAHA PIA?
 
Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
Nianze na wewe usiye na adabu, yule mtu mzima umempa chumba alale kisha unafungua mlango wake bila kubisha hodi! Tabia za wapi hizo! Ulimkwaza sana. Ungemkuta anasali ingebidi akatisha sala yake mpaka wewe mjinga umalize kupiga pasi!
Ondoa uzi wako vinginevyo utatukanwa sana kwa kukosa kwako adabu.
 
Sasa kweli ndiyo uje umdhalilishe humu kisa katoka kijijini na kalala uchi?

Kwanza kwa nini uingie chumba cha mgeni wako? Gonga hodi kwanza. Wewe ni mshamba kuliko mgeni wako
Nakubali nawewe mleta uzi hajielewi unapoingia chumbani aliko mtu shart ugonge hodi zaidi ya mara3 ukiona kimya hapo sasa ndo unaweza kutumia nguvu hata kuvunja mlango!

Mtu akiwa faragha ana uhuru wote alale uchi au avae hakuna kananuni eti lazima ulale na nguo No haipo
 
Mleta uzi wewe jamaa ni mjina na mshamba sana hata elimu yako hajakusaidia kwa lolote huna ustaarabu wowote uanashindwa vipi kupiga hodi?

Ninani alikuambia kuwa kulala ni lazima uvae boxer? je ni torati? heri usingemkaribisha tu kwenye chumba hiko na unabahti ungemkuta anapiga nyeto basi ungekazwa tu hakuna namna
 
Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
Kama zilivyo starehe nyingine, starehe za wengine ni kulala uchi (especially privacy ikiwa nzuri) na sioni shida yoyote katika hilo. Kikubwa ulipaswa kugonga mlango usubiri akufungulie, au ungemwambia mapema kuwa asubuhi utakuja kunyoosha nguo. Tupindue story, ungemkuta kaa na asubuhi yote hiyo mashine imesimama pia ungekuja kuanzisha mada?
 
Hata usimlaumu aiseee kama ni dar hao wa bush huwa wanahisi jotoo la kufaa mtuuu so jotoo limzidii mnunulie AC mgeni
 
nayeye kwanini alale mali aache kama yupo soko mjinga...🤣
aaf56a6bd93db2e7af8482803088ba18.jpg
 
Hii ndo shida ya watoto wa dar ww ndo unajiona mjanja kumbe ndo bwege! Sku nyengine usilete huu upuuz humu
 
Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
😁😁 Ndio umekuja kuniumbua huku kwanini usinge nambie..huku darasalama joto Sana sisi wa mkoani hatujazoea.
 
Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
Dar kuna joto sana uwe unabisha hodi hata kama ni kwako,nafikiri wewe unayewaza hayo makalio kifudifudi ndo unamatatizo
 
Duuh! Hivyo wana jf kwa wingi huu na nyie mnalala kama huyo jamaa huko makwenu?
 
Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
So shida nini?

1. Ulitaka asilale kifudi fudi uone mdude?
2. Alivyolala kifudi fudi umeshangaa tako?
Kwanza unaingiaje chumbani kwa mwanaume mwenzako bila kugonga hodi hata kama ni kwako?
 
Back
Top Bottom