Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,961
- 51,167
NUSURA yupo MACHAME INV anaenda DOM- DAR SAA 4
We need hundreds of Nusuras in Tanzania
NUSURA yupo MACHAME INV anaenda DOM- DAR SAA 4
Asee sipandi basi la mikoani linaloendeshwa na mwanamke I don't trust them ila inaonekana ni raha kundeshwa nao
Yuko mmoja anaendesha Lori la mafuta na tela yake ya kampuni ya Primefuels.We need hundreds of Nusuras in Tanzania
Alihama pia huko, yupo na TRINITY DAR-KIGALINUSURA yupo MACHAME INV anaenda DOM- DAR SAA 4
Hahaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Simwamini mwanamke katika safari nzito kama hiyo. ......hachelewi kukwepa NYOKA mkaingia porini.
Kabla hujaovertake unatakiwa uone mbele angalau mita 300 kwa kukadiria, sasa lori nne mbele ni ngumu kidogo kuzingatia hayo...Mkuu, hebu fafanua vizuri tuone kosa lake, kwani kuovateki malori manne kama mbele kweupe ni kosa?...
EMBU ACHANANIINUMEJUAJE MBEYA DAR KAMAHUMJUI KWANINI USISEME TARIME MWANZAKwa anaefahamu atupe jibu maana ni sura ngeni tunamfahamu zaidi yule mama aliekuwa Ndenjela huyu yupo kampuni gani.View attachment 516682
Fake huyu anamjua anazinguaYaani mpaka picha umepata halafu ukashindwa kumjua mwajiri wake!!???
Eee bwana eee kumbe naww unamfahamu...a see alifanyaga mbwembwe mitaa ya Ubungo kwenye foleni pale alikuwa anatoka Congo alooo hadi namm nikatamani kuwa dereva....shikamoo yule Dada na konda wake pia alikuwa mwanamke Aaah watu waliwasha giliaje....noma sanaaaaHao cha mchezo kuna dada anaendesha gari ya mafuta kwenda Congo, na nchi za kusini ana rasta fulani hv, akiwa kwenye gari huwezi kimjua kirahisi.
Kwani hizo rivasi na kona analibeba gari hadi ashindwe?Jinsi technologia ilivyoendelea sasa hivi hata bibi anaweza endesha lori la kisasa la tani 40...namaanisha kuendesha kama kuendesha tuu(kukanyaga mafuta kwenda mbele)....sio mambo ya rivasi, kukata kona na trela, kupanda na kushusha milima etc.
Lori nne zinakuwa na urefu wa mita 300? Kama we siyo dereva unaweza kushangaaKabla hujaovertake unatakiwa uone mbele angalau mita 300 kwa kukadiria, sasa lori nne mbele ni ngumu kidogo kuzingatia hayo...
Wee jamaa unaonekana mbishi kwali kweli, nikikuuliza swali kama hilo ulilouliza wewe labda ndo utanielewa!!Lori nne zinakuwa na urefu wa mita 300? Kama we siyo dereva unaweza kushangaa
Yuko mmoja anaendesha Lori la mafuta na tela yake ya kampuni ya Primefuels.