Huyu mama anaendesha basi la kampuni gani Mbeya-Dar?

Huyu mama anaendesha basi la kampuni gani Mbeya-Dar?

Simwamini mwanamke katika safari nzito kama hiyo. ......hachelewi kukwepa NYOKA mkaingia porini.
Huyu Nusura yupo imara barabarani na ni jasiri sana ukijaribu kupanda basi analoliongoza unaweza ukawaamini
 
we vipi mkuu unaekaeka mipicha humu bila kujali...embu toa hiyo picha hapo na uwache kuuliziaulizia yasiyokuhusu...mods tafazali mfute na huu uzi...
 
we vipi mkuu unaekaeka mipicha humu bila kujali...embu toa hiyo picha hapo na uwache kuuliziaulizia yasiyokuhusu...mods tafazali mfute na huu uzi...
Mkuu supu ya kongoro inakuhusu
 
Hii thread naona kama ya Madereva wa mabasi na malori mkiulizana vizuri waeza jikuta konda na suka mnabishana humu bila kujijua
Kwa JF kawaida hata mtoto anaweza mbishia dingi yake humu,si hatujuani!
 
Popote alipo yule dereva mwanamke heshima kwake ase nampa salute

Alivaa uniform sketi ya blue ,shati jeupe huku akibadilisha gear tu na kuover take mijibaba yenye ndevu alikuwa na fujo sana barabarani

Nimekumbuka hili tukio


Wapo makini sana Mkuu, mie huwa siyo rahisi kusinzia kwenye mabasi, lakini sina hofu nikiwa kwenye basi analoendesha mwanamke nasinzia kama vile nipo bedroom, siwezi kuhisi hata chembe ya break za kushitukiza na usumbufu mwingine unaotokana na uendeshaji mbovu
 
Kwa anaefahamu atupe jibu maana ni sura ngeni tunamfahamu zaidi yule mama aliekuwa Ndenjela huyu yupo kampuni gani.View attachment 516682
Kazi ni kazi naa haina jinsia mladi unauwezo na mamlaka ya kuifanya, hua nachukia kuona mwanamke anadharahaulika anapofanya kazi kama hizo, mbona ni kawaida kuona wanaaume saloon wakiseti na kushonea wanawake maweaving, kwanini ni bog deal kwa mwanamke kuendesha gari, kua konda au vinginevyo, kazi ni kazi mradi anajiheshimu.Nafurahi kuona kuna watu kama ninyi mnaofurahi na kuwasupport wanawake. kama hawa.
 
Alafu huyu atakuwa ni mchaga, wachaga hawapendi ujinga....wanasukuma hadi gogo. Truck za kubeba tani 30, huyo ni wa njia ya Tanga.....safi sana.. Hivi miwani haimsumbui? Maana hapo anaona vioo viwili kwa wakati mmoja
Wachaga huwa hawapendi shungi mkuu
 
Back
Top Bottom