Huyu Kocha Mpya wa Yanga-Folz , hafikishi Christmas ya Mwaka huu 2025

Huyu Kocha Mpya wa Yanga-Folz , hafikishi Christmas ya Mwaka huu 2025

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
14,674
Reaction score
20,443
Huu uzi utunzwe.

Sababu ni umri mdogo sana, sio rahisi aweze kuhimili pressure kubwa ya mpira wa Tanzania.

Na hana mafanikio yoyote kimpira.
Labda kama Uto wamemleta kwa majaribio.

Hatoboi popote.
Ibenge na Faldu watamnyoa mapema sana!

Utopolo watamfukuza.
 
Huu uzi utunzwe.

Sababu ni umri mdogo sana, sio rahisi aweze kuhimili pressure kubwa ya mpira wa Tanzania.

Na hana mafanikio yoyote kimpira.
Labda kama Uto wamemleta kwa majaribio.

Hatoboi popote.
Ibenge na Faldu watamnyoa mapema sana!

Utopolo watamfukuza.
Kwa Utopolo hii hata akipewa MAANDAZI atafanya vizuri sana!
 
Yanga pia ipo kwenye biashara ya kuuza makocha. Inaleta makocha wasio na majina na uzoefu kama hawa, inajua mafekechee inayofanya kwenye ligi kwa hiyo inamtengenezea rekodi za mchongo inajua kuna mafala wataingia kingi kuvunja mkataba wake. Timu la kitapeli hili.
Ukitoka hapa unaenda kumlaumu Mangungu 😂😂 alie waita mbumbumbu haikua bahati mbaya
 
Mwenye CV yake tafadhali!
Hapa chini ni wasifu kamili (CV) wa Romain Folz kocha raia wa Ufaransa mwenye mafanikio duniani kimichezo, hasa barani Afrika:

🧑‍🎓 Taarifa Binafsi
Jina: Romain Folz
Tarehe ya kuzaliwa: 28 Juni 1990, Bordeaux, Ufaransa
Ana leseni ya UEFA Pro pamoja na CONMEBOL Pro

🧭 Elimu na Uvurugaji
Alipata UEFA Pro License; pia alikuwa sehemu ya FIFA’s High‑Performance Department kabla ya kujiunga na Mamelodi Sundowns .

📅 Historia ya Usimamizi (Majukumu muhimu)
MwakaKlabu / TaasisiNafasi
2018: West Virginia United (USA)Kocha Mkuu
2019: Uganda (Taifa la Uganda)Kocha Msaidizi
2019–2020: Pyramids FC (Misri)Kocha Msaidizi
2020: Bechem United (Ghana)Kocha Mkuu
2020–2021: Niort (Ufaransa)Kocha Msaidizi
2021: Ashanti Gold (Ghana)Kocha Mkuu
2021–2022: Township Rollers (Botswana)Kocha Mkuu
2022: Marumo Gallants (Afrika Kusini)Kocha Mkuu (mkongwe ligi)
2022–2023: AmaZulu FC (SA)Kocha Mkuu, baadae Director
2023: Horoya AC (Guinea)Kocha Mkuu
Julai 2023–Desemba 2024: Mamelodi Sundowns (SA)Msaidizi Kocha Mkuu
Juni–Julai 2025: Olympique Akbou (Algeria)Kocha Mkuu (rilievo ligi)
Julai 2025–Young Africans SC (Yanga, TZ)Kocha Mkuu

🏆 Mfumo wa Kusimamia & Mpango
Anajulikana kwa ufuatiliaji wa kina wa data (data analytics) na mbinu ya kisasa za nidhamu, hasa akitokea kutoka FIFA High‑Performance.

Anatumia uzoefu wake wa kimataifa (Amerika, Ulaya, Afrika) kuleta mbinu zinazobadilika kulingana na uwanja na timu.

Wakati akiwa Marumo Gallants na AmaZulu, alishirikiana na wachezaji vijana, alisisitiza uwazi na mawasiliano wazi, mfano kwa Mahlatse Makudubela.

🔍 Maono ya Karibu
Sasa ametajwa kuiongoza Yanga SC kuendeleza ubabe wa ndani (Ligi Kuu, FA Cup, Union Cup) na kuongeza mafanikio katika CAF Champions League.

🔚 Hitimisho
Romain Folz ana wasifu unaovuka bara moja: tangu kocha msaidizi, mkurugenzi wa kiufundi, hadi kocha mkuu. Ana umri wa miaka 35 lakini uzoefu mkubwa kutoka timu mbalimbali barani Afrika (Ghana, Botswana, Afrika Kusini, Guinea, Algeria, sasa Tanzania). Katika msimu ujao atajiwezesha Yanga SC kushindana kimataifa na kujenga jina kwa mbinu za kisasa na usimamizi wa kina.
 
Huyu hafiki Christmas Yani kocha miaka 34 anakuja kufundisha wazee na wahuni,diara 35,zimbwe 40, mudathir 35,boka 40,baka 36,jobu 34,mzize 35 mkude 45,chama 42,aucho 43,musonda 46,azizi ki 35..
Kwa hiyo hata ukiongoza kampuni au taasisi inatakiwa kuwa na umri mkubwa kuliko wote? Je kinachoongoza ni umri? Tujitahidi kubadilisha fikra zetu.
 
Back
Top Bottom