Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,302
Kwani hakulipi kodi ya nyumba,na kama anakulipa,we shida yako ni nini hasa?huyo jamaa labda ndo staili yake ya kuishi kama binadamu wengine,je mbona hushangai wanawake wanaovaa suruali?
UWEZ KULINGANISHA SWAGA ZA mwanaume shoga NA MWANAMKE MVAA SURUALI
:frusty: