pitia usiipuuze hii story ni muhimu na ya kweli kabisa

mafia boy

JF-Expert Member
Jan 7, 2013
268
82
kwanza ningependa kuwapa pole kwa majukumu ya kila siku wana jamii wenzangu,,,

pili ningependa kuwapongeza wale wote wanaochangia kwa moyo mmoja na wa upendo pale
mmoja wetu anapoleta tatizo hapa uwanjani,,

na tatu ningependa kumpongeza yule alieleta hapa uzi unaohusu dalili za mpenzi wako kukusariti,,

sasa fuatilia

mimi nikijana ambae nipo mbali kidogo kutoka dar kikazi,,ila makazi yangu ni dar kijito nyoma karibu na secondary ya mama salma kikwete,,,ninampenzi wangu ambae tupo nae miaka mingi sana,inaweza kufika hata saba,,na hatukua tunagombana wala kukamatana kuhusu usariti,,mikwaruzano inayotokea ni ya kawaida katika maisha ya kila siku,,

kwakua mimi nipo mbali naye,,mara kwa mara alikua ananitembelea au mimi kumtembelea,,na mara nyingi mimi ndio nilikua namtembelea,,katika pirika pilika za kutafuta maisha bibie aliamua kuenda veta kujifunza mambo ya hotel,,ijapokua sikufurahishwa sana na uwamuzi wake,,kwakua tuu hakunishirikisha mwanzo kama anataka kuenda veta,,alienda mwenyewe na akaamua kuchukua mambo hayo ya hotel,,akasoma mwaka mzima na akafanikiwa kupata cheti kizuri tuu,,na akawa ameanza field katika hotel moja maarufu jijini,hapo,,nakumbuka vizuri sana,,wakati yupo field nilileta uzi hapa kuhusu mahusiano yetu na muelekeo ya kazi ya hotel,,watu wengi walinishauri vizuri,,wengine walinitahadharisha,,na wengine wakaniambia kua kazi za hotel ni kazi kama kazi nyengine,,sikuwapinga hata kidogo hawa,na wala sikumpinga yoyote alienipa ushauri,,

nakumbuka tena kuna siku nilisoma uzi mmoja hapahapa kuhusu dalili za mpenzi wako anaekusariti,,sikumbuki uliletwa na nani,,ila nilizingatia sana,na nikaanza kufananisha yaliandikwa mule na ninayoyaona mimi kwa laaziz wangu huyo,,"maana muandishi alikua anasema mara anakuambia sasa nasoma course,,usinipigie sim,,ohh mara nakua bize na sipati mda wa kuongea,,hivi vitu vilijitokeza live katika penzi langu,,binti alianza kuniambia ohh leo nitatoka usiku sana na nikifika home nitalala nitakua nimechoka,,oh,,sim hairuhusiwi kazini,,wakati kila mda sim yake ipo on,,

kilichotokeai kilichotokea ni kwamba hivi karibuni nimeenda kumtembela bidada,,tulikaa siku ya kwanza vizuri tuu,,siku ya pili mie nilipaswa kurudi kazini ila ukweli roho ikawa nzito sana,,yaani kama kuna kitu kinaniambia usiondoke leo,,basi nikaamua kupiga sim kwa mwenzangu kazini ili kumfahamisha kama sitokuepo kazini,,kwa bahati nzuri tukaelewana vizuri,,na mie nikabakia,,bi dada kaenda zake kazini,,mie nikabakia home,,jioni alivyorudi tukawa pamoja kwa furaha,,basi tukaenda kitandani kulala,,,ilipofika kama saa tano usiku sim yake ikaita,,kwakua hatuna kawaida ya kutoaminiana mie wala sikuhofia wala kuhisi kitu,,nikampa sim yake akapokea,sasa the way alivyokua anaongea ni kwa wasi wasi mkubwa sana,,ikambidi ile sim aikate gafla,,maana kapokea then akamjib ''nimelela nipigie kesho"..sasa hapo kidume ukanijia wivu wa kimapenzi,,nikamuuliza nani huyo unaemjibu hivyo?akupigie kesho?na kwanini sim uikate kabla hajakuambia anachotaka kukuambia?na hukupiga wewe iweje ukate sim?bidada akawa hana jibu sahihi,,mara mtu wa kazini,,sasa nikamuambia kama mtu wa kazini sasa kwanini usimsikilize?akawa anazuga zuga,,sasa nikapata nguvu kidogo ya kuhoji zaidi na ikabidi ninyanyuke sasa badala ya kusema nikiwa nimelala,,

basi nikaichukua namba kwenye sim yangu,,nikampigia jamaa hajapokea,,mara mda si mrefu akatumiwa message na mjamaa,,"najua haupo nyumbani ndio maana umeikata sim yangu ' hapo ndio nikazidi kuwa mkali kutaka kujua ni nani huyo,,basi bibie akaniambia sijui huyo ni jamaa wa kazini kwao anamfuatilia tuu na yeye hamtaki,,nikacheka sana,nikamuambia mie ni mtu mzima na huwezi kunidanganya,,akanga'ania hivyo,,kwakujali kua yeye kesho yake anaenda kazini,,na kazi zao ni za kutoa service kwa wateja,,nikaona nisiritibue usiku ni mwache aende kazini kwakua ninazo namba za mshikaji tutaongea na tutajua ukweli,,basi nikamkubalia ili alale kwa furaha,,tukalala japo kua nilikua namawzo ila alijitahidi kunibembeleza na kunifariji ili nilale vizuri,,kweli nikalala vizuri tuu,,kwa bahati nzuri yule jamaa alikua anajua ratiba za bibie za kuenda kazini,,kwani alikua anaamka mapema ili awahi bus la kazini,,ubungo pale,,so saa kumi na moja alfajiri akanipigia mimi kwanza maana usiku nilimpigia hakupokea so akanicheki mimi ni nani,,basi akaniambia kama ameona missed call yangu,nikamuambia kweli nilikupigia kwa kua niliona missed call kwa mpenzi wangu na sms umemtumia..jamaa akaniambia ni kweli ila yeye ni mtu wake,,,,daaa,,nilitamani nilie pale ila nikajikaza,,

Wakati huo tunaongea na jamaa dogo alikua bafuni anijataarisha ili awahi bus ubungo,,mara akaja,,na nikaweka loudspeker ili asikie..basi jamaa kaniambia kila kitu,,maana nilimuuliza maswali mengi na tulikua tunaongea kirafiki zaidi,,ameniambia kwamba girl alihamia kwake wakati mama yake hayupo,,na kweli mama yake dogo kasafiri,,na hapo ndio nikawa naunganisha picha za sms zake za kua hatoweza kuongea na mimi akitoka kazini maana amechoka,,daa iliniuma sana,basi nikamuambia jamaa kwakua mie niko mbali nae,,na ameamua kutafuta mtu wa kumfariji basi aendelee nae tuu,,mie nitaanza upya na maisha mapya huyu ashakua hanipendi tena,,dogo alikua anayasikia yote,,basi mie nikamuambia jiandae nikusindikize kazini,,dogo akawa haamini,,nikampigia best wangu wa bajaj akatuchukua mpaka alipotaka kushuka ili asubiri bus,,na mie kurudi nyumbani,,wakati nipo njiani akanitumia sms akaniambia na leo eti nisiondoke ili tuje tuzungumze,,,nikamuambia ningependa iwe hivyo ila kazi ndio muhimu wangu,,haitowezekana,,nikarudi nyumbani,,na nikaajiandaa na kurudi kazini

sasmani nae,, anahangaika kunitaka turudiane nami,,na mimi kiukweli mpaka sasa sina tena imani nae,,najua mie kijana na miahangaiko lazima sio kila siku nitakua nyumbani,jee nitamuamini vipi?na nilimuuliza kabla kama anamahusiano na mtu akanijib hana,,na always najaribu kumsisitiza aongee kila kitu ambacho anaona tatizo katika mahusiano yetu ila tutafute ufumbuzi ananiambia hamna,,sasa mie nimeamua moja kwa moja kuachia ngazi tena bila hata ya kumfanyia kitu chochote kibaya hata shavu sijamvuta,,wala sikua sina bifu na huyo mtu wake,,ila anasisitiza anataka kurudiana na mimi,na anawatumia watu mbali mbali wa karibu nami,,mwisho bimkubwa wake,,kwani nae ni mtu ninaemuheshim sana maana alikua anajua dhamira yangu, kwa mwanawe,,nilishapanga mungu akipenda december hii nawapeleka wazazai wangu kwao,,sasa imetokea hivyo,,mimi nifanyeje?/nimsaidieje?
 
Story ndefu inachosha, sijaisoma!
hilo ndio tatizo kubwa letu ,,na sio wewe tuu hata wengine wanatutilia masigne katika mikataba mibovu kwakua wanakimbilia sehem ya kusaigne tuu,,hawasomi kilichoandikwa ndani,,ila ahsante kwa ushauri,,
 
Girls are like town bus; one you miss one don't worry, you wanna get another.
 
hilo ndio tatizo kubwa letu ,,na sio wewe tuu hata wengine wanatutilia masigne katika mikataba mibovu kwakua wanakimbilia sehem ya kusaigne tuu,,hawasomi kilichoandikwa ndani,,ila ahsante kwa ushauri,,

Te te teee na wazungu walivyo wajanja wanaandaa contract document la page 900 ;one side print, font ya 12 spacing 2. Waziri gani ana huo mda wa kupitia page to page? Wanasema aaagh wapi oa kusain, kubwa mno hii

Vilaza wengi wapo
 
kwanza ningependa kuwapa pole kwa majukumu ya kila siku wana jamii wenzangu,,,

pili ningependa kuwapongeza wale wote wanaochangia kwa moyo mmoja na wa upendo pale
mmoja wetu anapoleta tatizo hapa uwanjani,,

na tatu ningependa kumpongeza yule alieleta hapa uzi unaohusu dalili za mpenzi wako kukusariti,,

sasa fuatilia

mimi nikijana ambae nipo mbali kidogo kutoka dar kikazi,,ila makazi yangu ni dar kijito nyoma karibu na secondary ya mama salma kikwete,,,ninampenzi wangu ambae tupo nae miaka mingi sana,inaweza kufika hata saba,,na hatukua tunagombana wala kukamatana kuhusu usariti,,mikwaruzano inayotokea ni ya kawaida katika maisha ya kila siku,,

kwakua mimi nipo mbali naye,,mara kwa mara alikua ananitembelea au mimi kumtembelea,,na mara nyingi mimi ndio nilikua namtembelea,,katika pirika pilika za kutafuta maisha bibie aliamua kuenda veta kujifunza mambo ya hotel,,ijapokua sikufurahishwa sana na uwamuzi wake,,kwakua tuu hakunishirikisha mwanzo kama anataka kuenda veta,,alienda mwenyewe na akaamua kuchukua mambo hayo ya hotel,,akasoma mwaka mzima na akafanikiwa kupata cheti kizuri tuu,,na akawa ameanza field katika hotel moja maarufu jijini,hapo,,nakumbuka vizuri sana,,wakati yupo field nilileta uzi hapa kuhusu mahusiano yetu na muelekeo ya kazi ya hotel,,watu wengi walinishauri vizuri,,wengine walinitahadharisha,,na wengine wakaniambia kua kazi za hotel ni kazi kama kazi nyengine,,sikuwapinga hata kidogo hawa,na wala sikumpinga yoyote alienipa ushauri,,

nakumbuka tena kuna siku nilisoma uzi mmoja hapahapa kuhusu dalili za mpenzi wako anaekusariti,,sikumbuki uliletwa na nani,,ila nilizingatia sana,na nikaanza kufananisha yaliandikwa mule na ninayoyaona mimi kwa laaziz wangu huyo,,"maana muandishi alikua anasema mara anakuambia sasa nasoma course,,usinipigie sim,,ohh mara nakua bize na sipati mda wa kuongea,,hivi vitu vilijitokeza live katika penzi langu,,binti alianza kuniambia ohh leo nitatoka usiku sana na nikifika home nitalala nitakua nimechoka,,oh,,sim hairuhusiwi kazini,,wakati kila mda sim yake ipo on,,

kilichotokeai kilichotokea ni kwamba hivi karibuni nimeenda kumtembela bidada,,tulikaa siku ya kwanza vizuri tuu,,siku ya pili mie nilipaswa kurudi kazini ila ukweli roho ikawa nzito sana,,yaani kama kuna kitu kinaniambia usiondoke leo,,basi nikaamua kupiga sim kwa mwenzangu kazini ili kumfahamisha kama sitokuepo kazini,,kwa bahati nzuri tukaelewana vizuri,,na mie nikabakia,,bi dada kaenda zake kazini,,mie nikabakia home,,jioni alivyorudi tukawa pamoja kwa furaha,,basi tukaenda kitandani kulala,,,ilipofika kama saa tano usiku sim yake ikaita,,kwakua hatuna kawaida ya kutoaminiana mie wala sikuhofia wala kuhisi kitu,,nikampa sim yake akapokea,sasa the way alivyokua anaongea ni kwa wasi wasi mkubwa sana,,ikambidi ile sim aikate gafla,,maana kapokea then akamjib ''nimelela nipigie kesho"..sasa hapo kidume ukanijia wivu wa kimapenzi,,nikamuuliza nani huyo unaemjibu hivyo?akupigie kesho?na kwanini sim uikate kabla hajakuambia anachotaka kukuambia?na hukupiga wewe iweje ukate sim?bidada akawa hana jibu sahihi,,mara mtu wa kazini,,sasa nikamuambia kama mtu wa kazini sasa kwanini usimsikilize?akawa anazuga zuga,,sasa nikapata nguvu kidogo ya kuhoji zaidi na ikabidi ninyanyuke sasa badala ya kusema nikiwa nimelala,,

basi nikaichukua namba kwenye sim yangu,,nikampigia jamaa hajapokea,,mara mda si mrefu akatumiwa message na mjamaa,,"najua haupo nyumbani ndio maana umeikata sim yangu ' hapo ndio nikazidi kuwa mkali kutaka kujua ni nani huyo,,basi bibie akaniambia sijui huyo ni jamaa wa kazini kwao anamfuatilia tuu na yeye hamtaki,,nikacheka sana,nikamuambia mie ni mtu mzima na huwezi kunidanganya,,akanga'ania hivyo,,kwakujali kua yeye kesho yake anaenda kazini,,na kazi zao ni za kutoa service kwa wateja,,nikaona nisiritibue usiku ni mwache aende kazini kwakua ninazo namba za mshikaji tutaongea na tutajua ukweli,,basi nikamkubalia ili alale kwa furaha,,tukalala japo kua nilikua namawzo ila alijitahidi kunibembeleza na kunifariji ili nilale vizuri,,kweli nikalala vizuri tuu,,kwa bahati nzuri yule jamaa alikua anajua ratiba za bibie za kuenda kazini,,kwani alikua anaamka mapema ili awahi bus la kazini,,ubungo pale,,so saa kumi na moja alfajiri akanipigia mimi kwanza maana usiku nilimpigia hakupokea so akanicheki mimi ni nani,,basi akaniambia kama ameona missed call yangu,nikamuambia kweli nilikupigia kwa kua niliona missed call kwa mpenzi wangu na sms umemtumia..jamaa akaniambia ni kweli ila yeye ni mtu wake,,,,daaa,,nilitamani nilie pale ila nikajikaza,,

Wakati huo tunaongea na jamaa dogo alikua bafuni anijataarisha ili awahi bus ubungo,,mara akaja,,na nikaweka loudspeker ili asikie..basi jamaa kaniambia kila kitu,,maana nilimuuliza maswali mengi na tulikua tunaongea kirafiki zaidi,,ameniambia kwamba girl alihamia kwake wakati mama yake hayupo,,na kweli mama yake dogo kasafiri,,na hapo ndio nikawa naunganisha picha za sms zake za kua hatoweza kuongea na mimi akitoka kazini maana amechoka,,daa iliniuma sana,basi nikamuambia jamaa kwakua mie niko mbali nae,,na ameamua kutafuta mtu wa kumfariji basi aendelee nae tuu,,mie nitaanza upya na maisha mapya huyu ashakua hanipendi tena,,dogo alikua anayasikia yote,,basi mie nikamuambia jiandae nikusindikize kazini,,dogo akawa haamini,,nikampigia best wangu wa bajaj akatuchukua mpaka alipotaka kushuka ili asubiri bus,,na mie kurudi nyumbani,,wakati nipo njiani akanitumia sms akaniambia na leo eti nisiondoke ili tuje tuzungumze,,,nikamuambia ningependa iwe hivyo ila kazi ndio muhimu wangu,,haitowezekana,,nikarudi nyumbani,,na nikaajiandaa na kurudi kazini

sasmani nae,, anahangaika kunitaka turudiane nami,,na mimi kiukweli mpaka sasa sina tena imani nae,,najua mie kijana na miahangaiko lazima sio kila siku nitakua nyumbani,jee nitamuamini vipi?na nilimuuliza kabla kama anamahusiano na mtu akanijib hana,,na always najaribu kumsisitiza aongee kila kitu ambacho anaona tatizo katika mahusiano yetu ila tutafute ufumbuzi ananiambia hamna,,sasa mie nimeamua moja kwa moja kuachia ngazi tena bila hata ya kumfanyia kitu chochote kibaya hata shavu sijamvuta,,wala sikua sina bifu na huyo mtu wake,,ila anasisitiza anataka kurudiana na mimi,na anawatumia watu mbali mbali wa karibu nami,,mwisho bimkubwa wake,,kwani nae ni mtu ninaemuheshim sana maana alikua anajua dhamira yangu, kwa mwanawe,,nilishapanga mungu akipenda december hii nawapeleka wazazai wangu kwao,,sasa imetokea hivyo,,mimi nifanyeje?/nimsaidieje?

mgeuzie kibra,piga chini.majanga huyo!
 
pole sana kaka mkubwa ila dah ... aise huyo mwanamke wako ni janga
Jiulize nafsini mwako je wampenda?
Kama hayo ndo mapungufu yake je uko tayali kuishi nae kwa mfumo huo?
Then chukua hatua
 
broo nafikiri Mungu amekuonyesha kila kitu kwa huyo mdada, na uamuzi ktkt conclusion yako umeshisema ambayo ni nzuri tuu, achana naye hata akikuletea rais kikwete we endelea na msimamo wako,maisha mafupi ukilazimisha utaletewa na ukimwi kwa sababu ya kutaka kumuonea mtu huruma, LET IT GO, full stop
 
pole sana ndugu yangu kwanza mshukuru mungu kwakuweza kukuone jinsi mwenzi wako alivyo,ilazima tukubali kwamba mapenz hujengwa na huaminifu,the way unavyomuamini mwenzi wako ndo unavyozidi kumpenda.
 
jifunze kusummarize.......

pole sana ,,,,,,,,, huyo anayeshindwa kuwapanga vizuri mpaka mnajuana ni majanga......... piga tu chini huyo.
 
Dah!huyo demu hapa kazini kwetu hotel kishatumaliza wanaume wote mpaka mimi nimemchalaza,si anavaaga shanga?sasa kahamia kugawa uroda kwa wateja,akimalizia kuwagawia wateja najua atahamia kwa 'mateja' lolz!
 
Baadhi yao ni wadhaifu sana hasa kwa watu waliowahi kuwa nao katika mahusiano ya ndani, ningeshauri kuangalia mbele badala ya kuendelea kumfikiria yeye maana amefanya haya yote akiwa ndani ya uhusiano jambo ambalo halileti picha nzuri siku za usoni.
*za kuambiwa changanya na zako....
 
Back
Top Bottom