Huyu kaka jirani simuelewi kabisa

Huyu kaka jirani simuelewi kabisa

We binti mmbeya kweli bora hata ungekuwa mtanga.

Sasa mambo madogo hayo ya sms unakuja kutangaza wakati namba yako ulitoa mwenyewe. Pia unajua mtu mwenyewe huwa yupo bize na simu, ulitaka awe bize na nani sasa kama sio contact list yake na wewe ukiwemo

Mnyang'anye namba yako😎
Nàmba yangu alipewa na mwenye nyumba
 
Apo kwenye kuongea na simu mda wote ndio kumefanya nijue sio mimi mana mdada mpangaji mpya hapa kanipa namba leo siku ya nne tu ila tumechat mno.
 
Nilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu.

Nimewamiss wana jukwaa😍🙂‍↕️😔
Mpe anachokitaka
 
Back
Top Bottom