Sawa, hebu jaribu kwenda chumbani kwa huyo kaka uone nini kitatokea 😁😁😁😁matukio ninayo mengi sema ukileta humu wana jukwaa wana mapovu
hio ni ID yakohuyo mgeni eeh?
Ananisalimia au ananiambia kuhusu umeme au kuhusu kuhamaAkikutumia meseji huwa anakuambiaga nini na mkionana ana kwa ana anasema nini
Akhuuuu, nikanipeleke anile kimasihara😁😁😁Sawa, hebu jaribu kwenda chumbani kwa huyo kaka uone nini kitatokea 😁
Wala mimo ndiyo nimemuona leo mbonahio ni ID yako
Biashara gani mzee?SASA kama humuelewi unataka ushauriwe nini ili umuelewe? Hivi matangazo ya hizi biashara zenu huwa mnalipia?
Sawa sawa, Mungu akupe hitaji lakoHamna nataka asiye na mambo mengi
Amen 😍🙏Sawa sawa, Mungu akupe hitaji lako
😆 😆 😆 Huyo ana aibu, hawezi.Akhuuuu, nikanipeleke anile kimasihara😁😁😁
Hii ya kutokumwelewa mtu unaishi nae ALAFU unataka sisi tusioshi nae, hatumjui tukushauri kuhusu yeye!!.Biashara gani mzee?
Mbona hakuna biashara hapoHii ya kutokumwelewa mtu unaishi nae ALAFU unataka sisi tusioshi nae, hatumjui tukushauri kuhusu yeye!!.
Wanaume washenzi mno, sitaki kufanya huo upuuzi aisee😁😁😆 😆 😆 Huyo ana aibu, hawezi.
Hii taarifa ya liniSina cha kuongeza zaidi ya kuwakumbusha tu kuwa Microsoft will end support for Windows 10 on October 14, 2025, meaning no more free security updates or technical assistance will be provided.
Ngoja aje mzabzab aone umesema wao ni washenzi na yeye akuite kenge 😆 😆Wanaume washenzi mno, sitaki kufanya huo upuuzi aisee😁😁
Kwa sifa ulizotaja za huyo jamaa, hana mambo mengi. Au mambo mengi unayomaanisha wewe ni yapi?Hamna nataka asiye na mambo mengi
Usimkazie na wewe shoga angu, wanaume wamekuwa adimu siku hizi, dildo zinasaidia ila ndio hivyo hazimwagi utamu, ukiona unatumiwa msg na mtu jiongeze siku hizi hakuna kutongozwa wala kuzungushana, ukiona mtu anaelekea jichetue shoga angu, mtazame kwa jicho la kungu umnase tunduni na wewe, usiniangushe shoga angu, na ukimpata usizembee, usiobyeshe uvivu mkamie mpe mauno yotee hadi asahau mlango wa chumbani kwake awe anaona wa chumba chako tuu, sorry kumbe niko kwenye pango la wanyang'anyi wanaangalia siri zetu. Nitupa shule umnasee kabisaa na ukitaka awe wako niambie nikupe maufundi ya hewani. Huu ni mwako wako shoga angu na harusi ukitaka niambie nikuoe shule ya kumpagawisha alete mahali bila kuambiwa ila kama hana kazi ni lala hoi usije ukampa yoter maana atakiganda na atakufukuzia ndege wako.Nilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu.
Nimewamiss wana jukwaa😍🙂↕️😔
Shenz kabisa huyu kenge....Ngoja aje mzabzab aone umesema wao ni washenzi na yeye akuite kenge 😆 😆
Kenge weeeWanaume washenzi mno, sitaki kufanya huo upuuzi aisee😁😁